BGR Group: Serikali ya Tanzania Inahangaika Kujisafisha Kimataifa kwa Kutumia Pesa za walipa kodi

BGR Group: Serikali ya Tanzania Inahangaika Kujisafisha Kimataifa kwa Kutumia Pesa za walipa kodi

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
842
Reaction score
1,425
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?

Soma hapa:
BGR - Copy.jpeg
 
Hizo pesa wanazochezea kujisafisha si wangetugawia wananchi hata buku buku tukanunulie mboga? Hivi wanafahamu kweli kama mtaani hali ni mbaya?
 
Hizo pesa bora wangeweka kwenye mafuta ili bei ishuke ndugu zangu.
 
Jambo la kusikitisha, hayo yote yanafanywa kwa gharama za wananchi maskini.
 
Nasikia wanahangika sana ili kuleta viongozi wa nje kuonesha anaungwa mkono, na wanajaribu kuhonga ili akaribishwe US. Hiyo bado imekwama.
 
Back
Top Bottom