The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Tusubiri tena mengine ila so far naona ikiisha hii BBA Amplified i guess BBA nyingine itachukua muda that's what i see according to my viewNi kweli wadada wote kutoka Tz waliowahi kwenda hawakuwa wanatupa burudani kama madume..latoya..kidogo liz alijitahidi hawa wa safari hii ndo kituko yule Lotus sijui alikuwa mvuta bange yule..Bhoke alikuwa cool sana ...afu tunakiwa tupeleke watoto wa ukweli sio magalasa
Tafadhali weka picha yake hapa.wengine hatuangalii huo ujinga wa kimagharibi....Bhoke is OUT from BBA
yaani huyu aliniudhi sana alipopigwa kavu live yaani tena anasikilizia kabisa kitu kinavoteleza..agghh aliniudhi sana
Eti wanawake ndiyo usawa huu tunataka? Bado sana wanaume watakuwa watawala wetu mpaka siku hiyo. Kale katoto hakana malezi toka kwa familia yake. Hivi wazazi wake wataweka wapi sura? Saa zingine tuwe tunaomba Mungu atutie nguvu, atufunge matumbo kama unabeba mimba uzae sampuli ile basi Mungu atie kitanzi.
Safi sana, sasa nitalala kwa amani.
yaani huyu aliniudhi sana alipopigwa kavu live yaani tena anasikilizia kabisa kitu kinavoteleza..agghh aliniudhi sana
alaa kumbe wivu analiwa na jirani ndo ulokuwa wawafukuta,sio ubaya wa alichokuwa akifanya hadharani kama kukuDah!Bora arudi tu tumgonge wenyewe ..kumbe akisha kata maji mahitaji yake ya kimwili yanaongezeka hahahahaaaaa....welcome back Bhoke ....we was micin u much...... mmmh!hivi yule jamaa siku ile alitumia ndom kweli?.
Dah!Bora arudi tu tumgonge wenyewe ..kumbe akisha kata maji mahitaji yake ya kimwili yanaongezeka hahahahaaaaa....welcome back Bhoke ....we was micin u much...... mmmh!hivi yule jamaa siku ile alitumia ndom kweli?.
alaa kumbe wivu analiwa na jirani ndo ulokuwa wawafukuta,sio ubaya wa alichokuwa akifanya hadharani kama kuku
Hii ni kweli hata kama wenyewe hawataki kuukubaliBora arudi bwana....kati ya miaka yote tuliyopeleka wadada mwaka huu tumepeleka malaya mabomu..yaani maharage ya mbeya....wenzake waliotangulia kina Elizabeth Gupta na Latoya....waliweza kuvuta vuta siku kwa sababubu hawakuwa na tabia za kimalaya malaya..
Kwa wale watetezi wa haki za wanawake ..huu ni udhibitisho kuwa mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa sawa 50/50.........wakati kwa mwanaume ie Mwisho,Richard...etc..ubazazi wao uliwapa sifa kura nyingi..na mashabiki....,jamii hiyo hiyo haioni fahari kwa binti kuwa huru kimapenzi hadharani......miaka yote BBA akishinda mwanamke huwa yule ambaye tabia na mwenendo wake kimapenzi ilikuwa reserved na kuonyesha msimamo au uvumilivu...tofauti kabisa na preference za wavulana wanaoshinda....