Bora arudi bwana....kati ya miaka yote tuliyopeleka wadada mwaka huu tumepeleka malaya mabomu..yaani maharage ya mbeya....wenzake waliotangulia kina Elizabeth Gupta na Latoya....waliweza kuvuta vuta siku kwa sababubu hawakuwa na tabia za kimalaya malaya..
Kwa wale watetezi wa haki za wanawake ..huu ni udhibitisho kuwa mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa sawa 50/50.........wakati kwa mwanaume ie Mwisho,Richard...etc..ubazazi wao uliwapa sifa kura nyingi..na mashabiki....,jamii hiyo hiyo haioni fahari kwa binti kuwa huru kimapenzi hadharani......miaka yote BBA akishinda mwanamke huwa yule ambaye tabia na mwenendo wake kimapenzi ilikuwa reserved na kuonyesha msimamo au uvumilivu...tofauti kabisa na preference za wavulana wanaoshinda....