Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Ni kweli wadada wote kutoka Tz waliowahi kwenda hawakuwa wanatupa burudani kama madume..latoya..kidogo liz alijitahidi hawa wa safari hii ndo kituko yule Lotus sijui alikuwa mvuta bange yule..Bhoke alikuwa cool sana ...afu tunakiwa tupeleke watoto wa ukweli sio magalasa
Tusubiri tena mengine ila so far naona ikiisha hii BBA Amplified i guess BBA nyingine itachukua muda that's what i see according to my view
 
Hapo watakuwa wamemaliza research yao na kuangalia kitu kipya cha kufanya...
 
Angalau umetutoa kimasomaso wakurya, karibu nyumbani BHOKE....karibu chips zege ya KONA Bar tehe tehe tehe. Jisikie huru mama
 
yaani huyu aliniudhi sana alipopigwa kavu live yaani tena anasikilizia kabisa kitu kinavoteleza..agghh aliniudhi sana

hivi hii habari ni kweli alipigwa kavu... live..? au uzushi... ? maana wengine hatujawahi kuangalia Big bro
 
Eti wanawake ndiyo usawa huu tunataka? Bado sana wanaume watakuwa watawala wetu mpaka siku hiyo. Kale katoto hakana malezi toka kwa familia yake. Hivi wazazi wake wataweka wapi sura? Saa zingine tuwe tunaomba Mungu atutie nguvu, atufunge matumbo kama unabeba mimba uzae sampuli ile basi Mungu atie kitanzi.

Wewe dada, kuwa mwangalifu na maneno yako,
mungu wetu hadhihakiwi unacho tamka anaweza kufanya, uchangu wa bhoke usimshirikishe mungu huko my dear, huezi tamani mungu funga kitanzi kwa sababu ya hilo, wakati maovu yanayotendeka ni makubwa zaidi ya hayo ya Bhoke.
Tunatakiwa kuwaombea watoto wetu kama tunao, na kama hawapo bado wakija maombi yana wahusu na sio kuomba shida kama hiyo wakati wengine wanasaga supu kutafuta watoto miaka mradi tu ndoa zao ziwe zenye faraja nduguyangu. MLEE MTOTO KATIKA NJIA IPASAYO NAE HATAIACHA HATA ATAKAPOKUA MZEE.
 
shame on her for committing adultery! hope we dnt see her again in 5 connect. She was disgusting
 
Hivi ni kweli alifanya mapenzi on camera bba, au ilikuwa ni uzushi tuu, wakuu wenye hard evidence mwageni hapa.
 
Jamani siku zote wanawake wanaothaminiwa ni wale wanaojiheshimu.

Ukitaka kujua ukweli soma comments za wanajamii juu ya Bhoke.

Kina dada jifunzeni kutokana na hili. Huwezi kujiachia kama mnyama ukaheshimika au ukavutia watu hata siku moja.

Pole sana Bhoke, na karibu home.
 
Dah!Bora arudi tu tumgonge wenyewe ..kumbe akisha kata maji mahitaji yake ya kimwili yanaongezeka hahahahaaaaa....welcome back Bhoke ....we was micin u much...... mmmh!hivi yule jamaa siku ile alitumia ndom kweli?.
alaa kumbe wivu analiwa na jirani ndo ulokuwa wawafukuta,sio ubaya wa alichokuwa akifanya hadharani kama kuku
 
Dah!Bora arudi tu tumgonge wenyewe ..kumbe akisha kata maji mahitaji yake ya kimwili yanaongezeka hahahahaaaaa....welcome back Bhoke ....we was micin u much...... mmmh!hivi yule jamaa siku ile alitumia ndom kweli?.

Inabidi atujulishe vijiwe vyake jioni tuwe tunapata 1 hot 1 cold nk nk nk
 
alaa kumbe wivu analiwa na jirani ndo ulokuwa wawafukuta,sio ubaya wa alichokuwa akifanya hadharani kama kuku

Sie ndio maBIG BRO wenyewe halafu unafikiri utajisikiaje lil sis akichakachuliwa live, mbaya zaidi na jamaa wa mtaa wa pili,angeopoa basi Mbollywood au mtu wa mbali kidogo.
 
Bora tuwe tunapeleka minjemba tu kule ikawale mademu tujulikane watanzania ni marijali kuliko kupeleka misister duh halafu inaenda kuliwa twaonekana wabongo makahaba.si etiieee???
 
I wish I could have much time to watch all this rubbish! Thank God, that I have lot of things to do, that I don't have any spare time to watch BBA SHOW! Sorry guys!
 
Karibu nyumbani Bhoke. Nadhani tuangalie wenzetu Nigeria wanafanya mchujo wa nguvu kumpata mshiriki bongo sisi tunaangalia zaidi umaarufu wetu uliopitwa na wakati. Bhoke watazamaji wengi wamedai kwamba alikuwa anatafuta mume zaidi kuliko kushiriki na kuonyesha vipaji alivyonavyo.Ernest mwenyewe alikuwa anamsema bhoke vibaya kwamba hajampenda na anapenda wanawake wenye ngozi nyeupe. Kuna tetesi kwamba wa kina Richard walihonga DSTV ili wachaguliwe kuwakilisha Tanzania. Worst of all Mnet imetekwa na Wanaigeria from Director to TX controller wote ni wapopo nadhani watapanga mshindi atoke kwao kwani Hata Cocacola Nigeria ndio waliopioneer kusponsor BBA 6 Amplified.
 
Bora arudi bwana....kati ya miaka yote tuliyopeleka wadada mwaka huu tumepeleka malaya mabomu..yaani maharage ya mbeya....wenzake waliotangulia kina Elizabeth Gupta na Latoya....waliweza kuvuta vuta siku kwa sababubu hawakuwa na tabia za kimalaya malaya..

Kwa wale watetezi wa haki za wanawake ..huu ni udhibitisho kuwa mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa sawa 50/50.........wakati kwa mwanaume ie Mwisho,Richard...etc..ubazazi wao uliwapa sifa kura nyingi..na mashabiki....,jamii hiyo hiyo haioni fahari kwa binti kuwa huru kimapenzi hadharani......miaka yote BBA akishinda mwanamke huwa yule ambaye tabia na mwenendo wake kimapenzi ilikuwa reserved na kuonyesha msimamo au uvumilivu...tofauti kabisa na preference za wavulana wanaoshinda....
Hii ni kweli hata kama wenyewe hawataki kuukubali
 
Back
Top Bottom