The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hizi LIPS za Bhoke dah!!Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
Gaga na AD mtalala stoo mjue eheee
Hizi LIPS za Bhoke dah!!
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
Samahani jamani TF nimekoma
Samahani jamani TF nimekoma
I am relieved now loltwende stoo mwaya
kuna internet JF full time hahahah lol
:smile-big::smile-big:hahahhaahahah lol
hakuna mtu mchokozi kama wewe duniani dahhhh
haya bwana mie naenda kulala nite nite mwaaahhh
Naona wamejitahidi ili msichana ashinde ila nahisi ni ngumu sanaHii inabidi iwe big sisters!!!
Atatoka mapema sana
speaking of bantu .......cheki huyu
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
eeeeee mimi penda hii
Chakula ya wakubwa!1st she is beautiful..
Second for some reason
Kuwa na wasichana wengi kwenye
program yeyote ni kivutio sana..
Na hii ni biashara tu kwa hiyo watachangu
Watu wenyewe sifa fulani au uzuri kufani
Ili watazamaji (target audience) wai enjoy hiyo
program na wawe na hamu ya kufuatulia...
Yah!! Naenda na Mbu ulisikia offer ya watu 300 aliyotoa Prince Charles
imetulia...mi penda hiyo pia AD
Chakula ya wakubwa!