Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
kwa kweli BB hata sielewi inakuwaje thread yangu kuchanganywa na mtu mwingine, nishareport nina imani wanafanyia kazi yaani hata kwenye profile yangu siioni kabisa!
Kweli MODS wetu wana kazi ngumu sana... Ni kwamba habari uliyoiweka kwenye thread yako ilikuwa tayari humu ndani.. hivyo imefanya kuunganishwa na ya mwanzo...Hivi kila mtu aje na habari moja ambayo tayari ipo humu ndani na kutaka ijategemee patatosha kwel?