Feyanga
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 223
- 89
Jamani hao madada kama mmeangalia Link zote mbili, wote ni watanzania, Bhoke na huyo mwenzake Lotus, halafu mwanaume ni mmoja, Ernest wa Uganda. Mnaona ni vema hiyo? Hapo kwa Bhoke ni zaidi ya kiss maana kabisa unaona Bhoke anasikilizia kitu utamu wake
Hiyo ya Lotus ilikuwa ni kissin game, na aliwakiss wanaume kama 3 hiv huku wengine wakishangilia pembeni, na wengine walifanya hivyo pia.
Eti anasikilizia utamu... hehehe