Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

kwa kweli BB hata sielewi inakuwaje thread yangu kuchanganywa na mtu mwingine, nishareport nina imani wanafanyia kazi yaani hata kwenye profile yangu siioni kabisa!

Kweli MODS wetu wana kazi ngumu sana... Ni kwamba habari uliyoiweka kwenye thread yako ilikuwa tayari humu ndani.. hivyo imefanya kuunganishwa na ya mwanzo...Hivi kila mtu aje na habari moja ambayo tayari ipo humu ndani na kutaka ijategemee patatosha kwel?
 
BBA ya mwaka huu naona itakuwa na mvuto sana maana warembo wapo wakutosha!
 
Sura ndo yenyewe nadhani anatumia jina jingine. Ila ameanza vibaya, amedondoka wakati akienda kukaa baada ya kutambulishwa. Nadhani kiatu kiliteleza
 
Bhoke-Tanzani-2.jpg


Age 26
Hometown Dar es Salaam
Occupation TV Broadcaster
Biography Tune in on Sunday 1 May to get Bhoke’s full profile.



Show itaanza may 1.... Haya kazi ni kwetu kumpa support dada yetu!


Upuuzi mtupu!!!
 
Yule dada mwingine Mtanzania ametoka wapi? Yule alieanguka jana...Utulivu wake ni zero kabisa.
 
Yule dada mwingine Mtanzania ametoka wapi? Yule alieanguka jana...Utulivu wake ni zero kabisa.
Nafikiri it's some kind of strategy ya BBA, may be wale watakaa kwenye jumba for sometime then wataondoka watawaacha washiriki wenyewe waliokuwa selected, i don't know how it works but lets wait and see cause the game is on already, ila nimefurahishwa na performance ya Busta Ryhmes pia na vale vijana waliokuwa dancers ni noma pia yule mdada wa Angola kivazi alichokuwa amevaa mhhh si mchezo
 
Na wewe jamani! mbona unanivunja mbavi mie, haya angalia hapo chini, ataweza ku compete na huyu wa kampala? Shanon, ni mwanamusic
Sharon-O-Uganda-2.jpg

kitu cha nguvu, kinafaa sana kwa muonekano
 
Hapa JF hamna mmiliki wa threads mkuu.. Kilichotokea ni kwamba Habari aliyoweka josm ndiyo hiyo hiyo aliyoweka Gaga, hivyo haiwezekani kukawepo thread 2 ambazo zinazungumzia jambo moja. Au unachangia kwenye thread kwa kuangalia mweye kuianzisha?
Kienyeji sana
 
Kweli MODS wetu wana kazi ngumu sana... Ni kwamba habari uliyoiweka kwenye thread yako ilikuwa tayari humu ndani.. hivyo imefanya kuunganishwa na ya mwanzo...Hivi kila mtu aje na habari moja ambayo tayari ipo humu ndani na kutaka ijategemee patatosha kwel?
Kwa mtaji huu na hii nyingine iliyoanzishwa na Revolutionalist nayo ni ya BBA ingeletwa humu au inakuwaje mkuu
 
terrible irresponsible life showed live...and us getting jubilated by it....what a paradox
 
Back
Top Bottom