Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Kwani umeshikiwa bunduki ukalazimishwa kuangalia
leo washiriki wote ndio watatinga ndani ya mjengo mida ya saa moja jioni hivi....Kama hawajarudisha shower time sipotezi mda wangu kuifuatilia:yield:
 
Hivi hii thread ni ya gaga au ya JosM maana hata sielewi tena Mod embu tuwekeeni tuelewe
 
Hivi hii thread ni ya gaga au ya JosM maana hata sielewi tena Mod embu tuwekeeni tuelewe
kwa kweli BB hata sielewi inakuwaje thread yangu kuchanganywa na mtu mwingine, nishareport nina imani wanafanyia kazi yaani hata kwenye profile yangu siioni kabisa!
 
kwa kweli BB hata sielewi inakuwaje thread yangu kuchanganywa na mtu mwingine, nishareport nina imani wanafanyia kazi yaani hata kwenye profile yangu siioni kabisa!
Hawajatenda haki nina imani watairudisha kwako wambakizie yake pia, naona hata yeye mwenyewe kashangaa.maana leo nilikuwa nina habari nataka niingize kule nimeitafuta sijaiona mpaka nikapata like moja ndio nimeitrace nayo. anyway. nimesikia kwamba hizi picha walizoweka kwenye website wametutega tu hizi ni za ma presenter watakaokuwa wanatoa habari za BBA nchini kwao vile vibox vinavyoonekana vimepauka (kama blank hivi) kwenye website ndio washiriki. ila tusubiri jioni tuone maana BBa huwa ina surprises nyingi sana
 
Ndio hata mimi nimeona hivyo! na watu kibao wamesema kama wewe, lets wait and see
 
Nimeisikia pia hii watu wengi wamesema hivo tusubiri hiyo saa mbili usiku
 
Media imetudanganya si Bhoke mwakilishi wa bongo grrrrrrrrrrrrrr
 
Naangalia hapa anaitwa Lotus! Au jina lake lingeine ni Bhoke? Well labda wapo wawili toka TZ maana kuna nchi mbili sasa wameingiza watu wawili Botwana na Uganda! will keep posting :A S 39:
 
Inawezekana na TZ wapo wawili naona zambia wapo wawili sasa
 
ya safari hii naona kama haitakuwa nzuri saaaaaaaaaaaaaana
 
Hivi hii thread ni ya gaga au ya JosM maana hata sielewi tena Mod embu tuwekeeni tuelewe

Hapa JF hamna mmiliki wa threads mkuu.. Kilichotokea ni kwamba Habari aliyoweka josm ndiyo hiyo hiyo aliyoweka Gaga, hivyo haiwezekani kukawepo thread 2 ambazo zinazungumzia jambo moja. Au unachangia kwenye thread kwa kuangalia mweye kuianzisha?
 
naangalia hapa anaitwa lotus! Au jina lake lingeine ni bhoke? Well labda wapo wawili toka tz maana kuna nchi mbili sasa wameingiza watu wawili botwana na uganda! Will keep posting :a s 39:

ni lotus anayetangaza kipindi cha nirvana eatv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…