Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

mmmh inawezekana kweli amefanya maana kama anahisi kitu hivi bt kwa lotus sidhan kama amefanya. je wameendelea kufanya au?
 
just leave them it part of the game as far wakina mwisho and richard walikuwa wanawala wa nchi nyingine mrifurahi
 
Habari ndg zangu,

Nimekuwa nikimfuatilia mshiriki wetu ktk show ya Big Brother Amplified, Bhoke lakini nimeshindwa kumwelewa kabisa

Anatumia muda mwingi sana kuwa peke yake, kimya na kulala muda mrefu kama ni mjamzito. Nadhani TV show nia yake kubwa ni kupata kuona visa vituko ucheshi na mengine ili show ivutie kwa watazamaji lakini kwa jinsi alivyo huyu mshiriki wetu naona kama hawezi kufika popote kwa kuwa style yake ya maisha haivutii mtu kutazama.

Lotus alikuwa anaonekana mapepe lakini alikuwa anafurahisha sana na toka ametolewa lile jumba lake kama limepooza hivi

Kwa waandaaji nadhani wawe wanachagua watu ambao wanaweza kuliletea taifa sifa na mshiko maana kama m-TZ akishinda nina uhakika hiyo hela itaingia kwenye mzunguko na kuinua uchumi wa taifa letu
 
Labda ndio life style yake.,u never know.....lakini hapo kwenye red, kwani huko alipo anawakilisha taifa au amejiendea tu mwenyewe?.,sidhani kama uwepo wake huko una faida yeyote kwa Tanzania kama Taifa sanasana labda kwake yeye binafsi na familia yake, Richard si alishinda, hebu niambie ni Taifa lilinufaika vipi na mamilioni aliyopewa?
 
ashinde wapi?
kule kunahitaji mtu chakaramu, muongeaji anayejua kujichanganya...
sasa yeyey labda anahsi kama yupo likizo.... mwache alale!!
atakapotolewa jumapili arudi kutangaza kipindi chake!!:A S 103:
 
Habari ndg zangu,

Nimekuwa nikimfuatilia mshiriki wetu ktk show ya Big Brother Amplified, Bhoke lakini nimeshindwa kumwelewa kabisa

Anatumia muda mwingi sana kuwa peke yake, kimya na kulala muda mrefu kama ni mjamzito. Nadhani TV show nia yake kubwa ni kupata kuona visa vituko ucheshi na mengine ili show ivutie kwa watazamaji lakini kwa jinsi alivyo huyu mshiriki wetu naona kama hawezi kufika popote kwa kuwa style yake ya maisha haivutii mtu kutazama.

Lotus alikuwa anaonekana mapepe lakini alikuwa anafurahisha sana na toka ametolewa lile jumba lake kama limepooza hivi

Kwa waandaaji nadhani wawe wanachagua watu ambao wanaweza kuliletea taifa sifa na mshiko maana kama m-TZ akishinda nina uhakika hiyo hela itaingia kwenye mzunguko na kuinua uchumi wa taifa letu
labda naye kasoma alama za nyakati kuwa 'umapepe' haulipi. Au ...
 
Taifa limenufaika na hela ya Richard kwani ameongeza mzunguko wa fedha katika Uchumi mfano ameweza kupanga nyumba kwa hiyo kuna mwenye nyumba amenufaika, alikuwa hana gari kwa sasa amenunua hivyo petrol stations na mafundi gereji na sehemu za kuosha magari zitapitiwa na huo mgao. Pia ameanzisha kampuni ya filamu ambayo ameajiri watu na kuwezesha kuwawezesha wasanii wenye vipaji kurekodi kazi zao. Kuna faida nyingi sana ambazo kwa macho ya kawaida huwezi kuziona ila ukiangalia kiuchumi zaidi utaelewa.

Na pale ingawa ameenda mwenyewe lakini anaangaliwa kama mtanzania na tabia yoyote mbaya atakayoonyesha inachafua taifa na kitu kizuri atakachofanya kinalipa taifa sifa na ndio maana Richard aliposhinda alipokelewa na mawaziri na alialikwa ikulu kwa kuwa alipeperusha vizuri bendera ya nchi yetu
 
<LI class=vbseo_like>Like
Ndugu Invisible Avatar yangu ni baunsa hivyo usinipige BAN iangalie vizuri utaielewa by wako mtiifu Funzadume

hahahaha i like your signature :biggrin1:
 
Nani alikwambia kuwa mapepe ndiyo kuwakilisha taifa vizuri wewe? Wakurya ni watu makini, watulivu na wanajua kucheza na akili za watu. Wewe usiyejua haya ndiyo unawaza kukurupuka na kupayuka. Hata usipomuelewa sisi wenyewe tunamkubali kama mkurya wa kwanza kututoa kimasomaso, sasa wewe endelea kuchongachonga tu.
 
Mwita mbona umeandika kwa jiziba kiasi hiki ndugu yangu. Yaani Bhoke ndo mkurya kwa kwenda BBA ndo ametutoa sisi wakurya kimasomaso. Ohhh No.
 
Habari ndg zangu,

Nimekuwa nikimfuatilia mshiriki wetu ktk show ya Big Brother Amplified, Bhoke lakini nimeshindwa kumwelewa kabisa

Anatumia muda mwingi sana kuwa peke yake, kimya na kulala muda mrefu kama ni mjamzito. Nadhani TV show nia yake kubwa ni kupata kuona visa vituko ucheshi na mengine ili show ivutie kwa watazamaji lakini kwa jinsi alivyo huyu mshiriki wetu naona kama hawezi kufika popote kwa kuwa style yake ya maisha haivutii mtu kutazama.

Lotus alikuwa anaonekana mapepe lakini alikuwa anafurahisha sana na toka ametolewa lile jumba lake kama limepooza hivi

Kwa waandaaji nadhani wawe wanachagua watu ambao wanaweza kuliletea taifa sifa na mshiko maana kama m-TZ akishinda nina uhakika hiyo hela itaingia kwenye mzunguko na kuinua uchumi wa taifa letu

Mkurya na ubitozi wapi na wapi?
 
anajihami asije pigwa ,ushobozi akazaa mtoto asiekuwa na baba
 
Wakurya wana hasira yaani hapa jamaa Mwita naona kaandika mpk keyboard inataka kuvunjika kisa Bhoke kasemwa vibaya
 
just leave them it part of the game as far wakina mwisho and richard walikuwa wanawala wa nchi nyingine mrifurahi
Kwani umesikia Tunawakataza??, Ule ni usengelema wewe. TUuUUpA Kule

Sipati picha boyfrend wake na Wazazi wake wanajisikiaje!.
 
Atakuwa kaingia JF kaona jinsi watu walivocomment yeye kumkalia Kijana wa watu kwenye Jacuzi!,

Heeeeeeeeeeeeeeeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi nyie hamna dada kwenu, mbona tunawakuta KONA BAR kila siku lkn hatusemagi?
 
Back
Top Bottom