M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 408
Simshangai Bhoke maana ameonyesha her true colors, nimepata kusikia habari zake toka kwa watu aliosoma nao Tumaini University Campus ya Dar, inasemekana huyu mtoto ni kicheche mbaya na uzuri wake ni kwamba neno "hapana" halipo kwenye kamusi yake.,halafu eti kwenye profile yake alisema "she cant do sex for money".....ptuuuuu!, unafiki mtupu.