Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Mods, Naomba sometimes kwa issues kama hizi rules za JF ziwe zinaruhusu kutukana.

hehehehehe
kamuwa baba,hasira, hasira, hasira mkuuuuuuuuuuuu

wangeniruhusu kutukana leo ningejifunza kutukana ningesema "ushuzi wake"
 
kwa mara ya kwanza mpaka katikati
ya video mablanketi yametulia tu mpaka
kuleeee karibu na mwisho ndo yakaanza
kupiga push ups mmmhh

halafu hakuna hata sarakasi
ticket silipi wacha nisione hiyo movie..

Na kama wameamua kuonyesha
si bora waonyeshe kitu cha maana
au wasionyeshe kabisa
..mimi si pendi danganya toto..
warudie tena..

Hahahahahaaaaaaaa, taratibu jamani mwenzio nimeanza mazoezi ya tumbo hata wiki haijaisha sasa unaniumiza kwa kucheka maana nyama nyama zinauma mwee, mwezi huu. Kha!!! vituko.
 
Mwanamke malaya sana huyu...hivi tunakosea wapi kushindwa kuwaona watu hawa mapema mpaka tunapatwa na aibu za hivi,hata kama ni nyege huu ni huayawani (African Women Dehumanisation)
 
napita jamani.

mimi sipiti nipo
ninahasira nae sana,huwezi ku du me i do you wakati unaelewa kabisaaaaa kuwa kunakamera kibao,unamaanisha alikusudia kutuaibisha

mimi nilikuwa naona mashuka yanainuka na kushuka chini,nilidhani kuna mgonjwa anaumwa kumbe wana du bana

umetuaibisha sana
 
Nasikitika kwa nini hakumpa huyo Mganda ajiexpress lol

Jamaaa kakomaa na kifo cha mende
 
hatufai huyo,aibu yake, pamoja na familia ,marafiki na majirani zake na taifa tumekumbwa kwasababu alibeba bendera yetu!! uma..laya na ufuska ndio aliofuata...na iweje leo aseme hakuiwakilisha tz,,,i thnk aibu ya uovu inamfanya aseme alikwenda kujiwakilisha yeye na ny....p yake.
 
mimi nilishasema angekatwa kale kadude kule ukuryani asingefanya haya
 
Ati waandaaji wa Tanzania ''waliona ana kitu cha ziada'' ndo maana walimchagua.

Yes, waliona ana chembe chembe za uchizi na uchangu -DO
labda walihisi ana nyege za ziada,

mambaffffffff
 
Back
Top Bottom