Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Kama Tanzania hamna machangu? Basi Bhoke kadhihrisha uchangu wa waTanzania! Bahati mbaya kwa sababu ya malezi yake ya asili hata kiuno hakukata!
 
Kama mwajili wake ana maadili, basi huyu hastahili kuwa mtangazji tena kwani yeye anatakiwa awe kioo cha jamii. Yeye anatakiwa afukuzwe kazi aende kuajiliwa kwenye wacheza picha za ngono. Ni aibu kubwa saana kwa wanawake na akina mama wa Tanzania, nini cha kujivunia hapo? yaani unafanya ngono in public?
 
Huyu binti ni m***zi sana..embu ona alivyojitetea kwenye facebook account yake.....
"What's the big deal? People were just making a lot of noise about the whole issue as if we were having sex on the street. BBA Amplified house is for adults and whoever cannot 'suck it' up should not even be watching."

....Kama dada zetu mtaendelea kwenda BBA na kufanya u***zi kama huu,basi mjue Tanzania itakuwa na sifa mbaya na inaweza kufika kipindi majirani zetu watakuwa wakiona mwanamke toka bongo wanajua cha kwanza kumpatia ni ka game ka ngono
 
Baada ya hawa kina "Mficha uchi hazai" Bhoke na "Shaba Ranks" Lotus kutudhalilisha then unapokea ujumbe huu...
Hello, u r cordially invited to Big Brother Amplified Bhoke and Lotus homecoming party tonight at Mafian Fish Lounge frm 9pm. khaaaaaa... thuuuuuu...
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh majirani zangu huu nao tunaita mchezo (game) au? Sasa kama kupata kura ili uweze kuendelea kusavaivu kwenye jumba si lazima uwe mlevi au ufanye ngono kuna haja gani ya hawa washiriki kuyafanya haya jamani? Mbona kuna mambo mengi sana ya kufanya na watu wakakupigia kura tu,,eehh jamani...

Hii inaonyesha kabisa kuna upungufu wa ubunifu na mbinu za kuishi na watu, mana nionavyo mie kuishi ndani ya jumba lile ni sawa na unavoweza kuishi na watu wengine huku duniani, sasa kama ili uweze kuishi ni lazima ufanye unusual things sioni kama ni sawa. NARUDIA TENA WAWAKILISHI WANOTUMIA NGONO AU ULEVI KAMA TIKETI YA KUBAKI KWENYE JUMBA WAMEKOSA UBUNIFU NA MBINU ZA KUISHI NA JAMII .
 
Anasema kila mshiriki lazima uwe na kitu cha kibunifu naona yeye ubunifu ulikuwa kuliwa uroda kwa kifo cha mende
mh! halafu hao ndo watu ambao tunathubutu kuwaweka runingani kutangaza. mh!
 
Baada ya hawa kina "Mficha uchi hazai" Bhoke na "Shaba Ranks" Lotus kutudhalilisha then unapokea ujumbe huu...
Hello, u r cordially invited to Big Brother Amplified Bhoke and Lotus homecoming party tonight at Mafian Fish Lounge frm 9pm. khaaaaaa... thuuuuuu...

Jirani umenichekesha nusura ubavu uchomoke na hayo maneno kwenye bold, aaaaahhh I salute u! yaani nilikuwa sijaisoma kwa siku nyingi hii methali ya MFICHA UCHI, afu umenikumbusha Shaba ranks enzi zileee,, Yaani u make my day!
 
Lakini tusisahau mtoto umleavyo ndio akuavyo, na mtoto ni barua ya nyumbani. Kwa hiyo haya yaliyoajili kwa bint, dada yetu Bhoke tosha inatuonyesha alivyolelewa na mama yake.
 
Lakini tusisahau mtoto umleavyo ndio akuavyo, na mtoto ni barua ya nyumbani. Kwa hiyo haya yaliyoajili kwa bint, dada yetu Bhoke tosha inatuonyesha alivyolelewa na mama yake.

Huyu binti yaonekana hata aibu hana...wazazi wake kama wapo na wenye kuheshimika mtaani,watajisikia vibaya sana juu ya hili na unajua kama ulivyosema matendo ya mtoto huonyesha alivyolelewa,ila yawezekana toka mtaani full kicheche so wazazi walishachoka
 
Kama mwajili wake ana maadili, basi huyu hastahili kuwa mtangazji tena kwani yeye anatakiwa awe kioo cha jamii. Yeye anatakiwa afukuzwe kazi aende kuajiliwa kwenye wacheza picha za ngono. Ni aibu kubwa saana kwa wanawake na akina mama wa Tanzania, nini cha kujivunia hapo? yaani unafanya ngono in public?

Pole sana yombayomba, mwajiri wake anaitwa Channel 5, pale bila kuvuta bangi huwezi kufanya kazi na bangi inavutwa kuanzia na mwajiri wao hadi mfagiaji, sasa unataka amtimue kazi??? Kwanza mwajiri mwenyewe atakuwa amefurahi maana kawakilishwa vema huko. We hushangai Bhoke na Lotus akili moja kama wamezaliwa tumbo moja???
 
JANA nilimuoana uyu mdada alicheza x-movie bba na mchizi wa ug,pale FNL Chanel five jamani iyo ni confidence au anajishogondoa tu kupotezea kamchezo kake?na akirudi kurusha kile kipindi chake cha five connect basi ata uyo boss wake itakua hamanazo au wana JF nyie mwaonaje?
 
Aliboa kinoma eti anadai hajutii chochote kama sio us...........e ninini jamani!!
 
JANA nilimuoana uyu mdada alicheza x-movie bba na mchizi wa ug,pale FNL Chanel five jamani iyo ni confidence au anajishogondoa tu kupotezea kamchezo kake?na akirudi kurusha kile kipindi chake cha five connect basi ata uyo boss wake itakua hamanazo au wana JF nyie mwaonaje?

alikua ananogesha BBA.
 
Shida Bhoke amejiona yeye ni super star. Hakujua kule anatakiwa kufanya nini, wakati gani? kwa maana nyingine, hakuweza kabisa kusoma mchezo ukoje mle ndani.

Ila kuna jambo moja aliloweza kuliko yote. Ni kutongoza wanaume, seducing them. She was very good at that. Her actions during the last party speaks for itself, ni kama changu fulani hivi!
 
Back
Top Bottom