Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

Hivi,hao askari walishindwa hata kusoma hali na mazingira ya hao vijana?Kwa uzoefu, mbinu na mafunzo yao walishindwa kutambua chochote?
 
Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.

Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.

Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
 
Acha kutetea mauaji. Wewe kama hukufa ni wewe.
 
Unatetea ujingujinga.Wamesababisha kifo.Kawatetee kwa hayo maneno yako ya kijinga ili aliyekufa afufuke.
 
HAKUNA KITU CHA THAMANI KWENYE MAISHA KAMA UHAI MZEE.
HAKI YA BINADAMU YA KUISHI NDIO KITU CHA KWANZA DUNIANI.

Ila kwasababu huna akili ndio maana unalinganisha Uhai na Ujinga wako

ELimu
Elimu.
Elimu.

RUDI SHULE.
 
Mkuu hawa waliteswa extremely. Baba wa marehem kadai mwili ulikuwa na alama za viboko na damu kuvilia ndani. They acted very unprofessional.
 
R.I.P - Mdudu .. handsome....
 
Mkuu hawa waliteswa extremely. Baba wa marehem kadai mwili ulikuwa na alama za viboko na damu kuvilia ndani. They acted very unprofessional.
Hawa Kitanzi kinawalamba chapu tu...
 
ما هي الجريمة التي قُتلت بسببها؟
 
Hivi,hao askari walishindwa hata kusoma hali na mazingira ya hao vijana?Kwa uzoefu, mbinu na mafunzo yao walishindwa kutambua chochote?
Mkuu, matukio kama haya yanayotokea nyuma ya pazia na hayafahamiki ni mengi. Hakuna kikosi chenye kiu ya damu kama hawa watu. NB: watu watanishangaa sana mimi nikisema tukio kama hili wala halijanishangaza hata kidogo. Kama rais wa nchi anaweza kufurahia hadharani kuuawa kwa watu kama ilivyotokea 29/10 na raia wakaona ni poa tu, tena baadhi wakamshangilia tunadhani hao polisi watafanya nini?
 
Umeamdika uhalisia mtupu.Siongezi neno.That's a damn shame!
 
Watanzania tuache unafki! Nchi ikishafikia kwenye stage ya kuua raia bila kosa kama ilivyokuwa 29/10 na muuaji akapita mitaani anatamba na baadhiyetu tukamshangilia na kuendelea na maisha, hiki kilichotokea kwa huyu kijana kinawashangaza kweli?
 
Bado haitoi uhalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…