Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.

Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.

Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
Wewe Bado ni incomplete human being

Bado ni Mnyama. Mtu asiekuwa na utu hawezi kutetea UTU wa mtu. Hawezi kuona thamani ya UTU. Ni sawa na FISI aumizwe na kifo cha SWALA.


Nashangaa hata kwanini watu wananunua spare kwako mtu usiekuwa na UTU.
 
1786856325500.jpg
 
Back
Top Bottom