Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.
Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.
Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba