😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
sheikh inawezekana kabisa ukawa unajaribu kubambia bambia maneno mawili matatu kwa kadri ulivyo kariri au karirishwa. na unapozidi kuweka weka hayo maneno unaonesha jinsi ulivyo maamuma kabisa katika ilimu hii.sasa ngoja kwa utulivu kabisa pasipo munkari,pepeso la macho au ith- hali nikupe darsa kwa kadri nipatavyo nafasi pasipo kulaza damu hata kwa dahri. USIPOTOSHE WAISLAMU MAAMUMA KUWA ibrahimu ,musa n.k walikuwa waislamu. sheikh unajipalia makaa ya moto huko jehnamu kwa dhambi iso na sababu. hawakuwa waislamu hawa walikuwa wayahudi miaka yao yote mpaka wanafariki.hawakufaham uislamu ulivyo na utakuja kuwaje.
1. Maana ya neno
"lslam"
Neno 'Islam' Asili yake ni lugha ya 'kiarabu' lenye maana ya 'utii' au 'amani'.
2. Mwanzo wa Dini ya Kiislamu
Neno "Islam" ni tofauti na "Dini ya Kiislamu". Hii ni kwa sababu neno "Islam" lilitumika na waarabu hata kabla ya kuanza kwa dini ya kiislamu. Kwa hivyo "Dini ya kiislamu", maana yake ni "kujisalimisha chini ya amri za Allah" au "Amani chini ya sheria za Allah".
i. Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe - maana baadaye yaka kusilimishwa majini) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"
Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).
mwanzo wa Dini ya Kiislamu.
Kadiri ya aya hizi zote tunaona ya kuwa dini ya kiislamu ilianzishwa rasmi hapa duniani Ramadhan siku ya Jumatatu mwezi 17 sawasawa na Tarehe 27 December mwaka 610 Baada ya Kristo (B.K), na mtu aitwae Muhammad Bin Abdalah Bin Abd-Muttalib Bin Hashim Bin Abd Manafu Bin Kusay. Mama yake aliitwa Amina Bint Wahab.
Ama baada ya kuona mwanzo wa Dini ya uislamu sasa tuanze kuangalia mbinu za kueneza uislamu.
3. Mbinu Zinazotumika na Waislamu
Mwanzoni Muhammad, mtume wa waislamu, alitumia mbinu hata za kivita ili kueneza dini yake ya kiislamu. Hata wafuasi wake waliamrishwa kupigana kwa ajili ya dini yao. Qurani inasimulia hivi---
Qurani 5:35 Suratul Al -Maidah (Meza)
Enyi mlioamini mcheni mwenyezi Mungu na tafuteni njia ya kumfikilia (kufikilia pepo yake). Na piganeni kwa ajili ya Dini yake ili mpate kufaulu.
Katika Qurani, kitabu kinachowaongoza waislamu, zipo aya nyingi zinazowaamrisha waislamu
wapigane. Baadhi ya aya hizo ni Qurani 47:4 Suratul Muhammad na Qurani 9:123 Suratul At - Tawba. Muhammad mwenyewe alisema hivi katika kitabu cha hadithi zinazoaminiwa na waislamu wote:-
Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira: Mtume wa Allah akasema, Nimeamrishwa kupigana na watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah; Na yule atakayesema kwamba hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah, maisha yake na mali yake yataokolewa nami…
Uislamu wa mwanzoni ulikuwa ni vuguvugu la vijana, ambalo awali lilifikiriwa kama chama kisichokuwa na madhara. Walikuwepo katika siku zile takriban wanachama 40, na walikuwa wakipenda kukutana katika nyumba kubwa katika kiunga cha mji iliyokuwa mali ya kijana mmoja tajiri aitwaye Arqam wa kabila la Makhzum. Nyumba hiyo ya Aqram inakumbukwa na Waislamu kama sehemu ya kwanza ya kukutania ya Uislamu.”
(5). Akina Yasir walikuwa ndio “familia nzima” ya kwanza kusilimu (nje ya familia Mtume mwenyewe). Yasir, mke wake, Sumayya; na mwana wao Ammar; wote watatu walisilimu mara tu walipousikia mwito wa Mtume wa Allah swt. Watu wengine wamedai kwamba alikuwa ni Abu Bakr aliyekuwa mkuu wa “familia nzima” ya kwanza kusilimu. Madai haya yanakosa ushahidi. Mtoto wa Abu Bakr, Abdur Rahman, alikuwa ni mwabudu sanamu, na alikpigana dhidi ya Mtume wa Allah katika vita vya Badr. Baba yake Abu Bakr, Abu Qahafa, alikuwa pia ni muabudu masanamu ambaye alikuja kuwa Muislamu tu baada ya kutekwa Makka mnamo mwaka 630.
(6). Wapagani wa Makka walimtesa Yasir na mke wake Sumayya, na mtoto wao Ammar, siku baada ya siku, kwa kuukubali Uislamu. Wote watatu walikuwa ndio Waislamu wa kwanza ambao Muhammad Mustafa, Mtume wa Allah swt. aliwabashira kwam- ba wataingia Peponi.
(7). Sumayya, mke wa Yasir, alikuwa Mu’min wa kwanza aliyekufa shahidi katika Uislamu. Mume wake, Yasir alikuwa shahidi wa pili katika imani. Wote waliteswa mpaka kufa na wapagani hao. Mtoto wao, Ammar, alikuwa amepangiwa kupata shahada ya kifo cha Kishujaa ingawa alifanya hivyo katika vita vya Siffin mwaka 657. Waligeuka, kwa namna hii, kuwa familia ya wote Mashujaa katika Uislamu – sifa ambayo hakuna yoyote aliyewahi kushirikiana nao. Allah swt. Mwenyewe aliwach- agua kwa ajili ya heshima hii kubwa.
(8). Mtu wa kwanza kusoma Qur’an kwa sauti ndani ya Al-Kaaba alikuwa ni Abdallah ibn Mas’ud, sahaba na rafiki wa Muhammad (s.a.w.w.).
قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ قُلْ إِنِّي أُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ أَوَّلَ مَنْ أَسْلَمَ ۖ وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِينَ - 6:14
Hyo inaitwa suratu al-an'aam. Ni kweli kabisa km ulivotafsiri, Ndio maana mwanzo nikasema tatizo Lako ww no dogo sana, ni Elimu tu. sema ulikuja kihuni sana kwenye mjadala lkn any way ntakufundisha tu hvhvo na qibri chako.
Kwanza aya haina kabsa uhusiano na tafsiri yako Waka ulichokimaanisha et Muhammad ndio muislamu wa kwanza, M/mungu anamuamrisha Muhammad awaambie Waja wake kwamba yeye ndio kiigizo chema na apambane ktk kuondoa uovu na Katu asiwe miongoni mwa washirikiana. Msingi wa aya hapa ni kumuhabarisha Muhammad awe mstari wa mbele ktk kuondoa madhila yote yalotangulia, kumbka hata kabla take washirikina walikuwepo ndio manaana mwisho wa aya wametajwa.
Narudia tena naomba aya wapi M/mungu kamtaja Muhammad kama mtume wa Kwanza!?
Then mbn hujajibu waislam Unafahamu kama wanaamini vitabu 4!? Yn ukijibu hilo make mjadala unkufa hapahapa. Wala Hakuna haja yakusumbuana.
Mwisho kabsa kuhusu kutumia lugha ya staha ni muhimu xaxa uanze kujifunza kuacha kutumia lugha za kuudhi ktk mambo ya kitaaluma tena bahat mbaya huna Elimu navyo.