TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

1790012191503.png
Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia leo hii.Taarifa za kifo chake zimefika wakati akiwa nyumbani kwa Mmoja ya watoto wake huko Zanzibar.

Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.

Kifo chake kinatajwa kuwa ni msiba mkubwa kwa familia, ndugu, jamaa na wananchi wa Zanzibar, huku taarifa zaidi kuhusu mazishi na ratiba nyingine za msiba zikitarajiwa kutolewa na Serikali. Mama Fatma Karume anafariki akiwa na umri wa miaka 97.
 
FATMA-KARUME-780x470.jpg


Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia leo hii.

Taarifa za kifo chake zimefika wakati akiwa nyumbani kwa Mmoja ya watoto wake huko Zanzibar.

Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.

Mama Fatma Karume anafariki akiwa na umri wa miaka 97.
 
Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia leo hii.Taarifa za kifo chake zimefika wakati akiwa nyumbani kwa Mmoja ya watoto wake huko Zanzibar.

Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.

Kifo chake kinatajwa kuwa ni msiba mkubwa kwa familia, ndugu, jamaa na wananchi wa Zanzibar, huku taarifa zaidi kuhusu mazishi na ratiba nyingine za msiba zikitarajiwa kutolewa na Serikali. Mama Fatma Karume anafariki akiwa na umri wa miaka 97..
IMG-20260921-WA0111.jpg
 
Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon

May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus

May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah

Aameen

Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ameripotiwa kufariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 97.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mama Fatma amefariki akiwa nyumbani kwa mmoja wa watoto wake huko Zanzibar.

Mama Fatma alikuwa mke wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.

Kifo chake ni msiba mkubwa kwa familia, ndugu, jamaa na wananchi wa Zanzibar, huku taarifa zaidi kuhusu ratiba ya mazishi na taratibu nyingine za msiba zikisubiriwa kutoka kwa familia au mamlaka husika.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mama Fatma Karume mahali pema peponi.
Mama hana deni, huyu mama alikuwa mtu dhamana sana yeye ni kutabasamu na kicheko tu, wala huwezi kumsikia kwa maneno ya kuudhi au udini au ukanda, kwa heri mama Karume, ''mwananchi mwenzetu''kila nafsi itaonja mauti..
 
Back
Top Bottom