Hata wewe unaweza kufuata mkuu kifo ni fumbo umdhaniaye unaweza kuondoka ukamwachaRest in Peace Mwananchi
Ni kama Mom Maria atamfuata.
HAPO WAISLAM NA MASHEKH WAO WANANYOSHA KANZU TU WAKIWAZA UBWABWA WATAKAO KULA NA KUVIMBIWA MSIBANI ILI WAPATE STORY YA KUJA KUSIMULIA WAJUKUU WAO UZEENI𝗧𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97.
Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.
#KitengeUpdatesView attachment 3675324
Ungeweza? Mc mpilimpili!RIP mama Karume.
Kaishi 54yrs ya ujane. Heko kwake.