TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

Unamuamrisha Mungu amsamehe? Sijaona mahali umemuimba Mwenyezi Mungu amsamehe.

Halafu kiuhalisia mtu hawezi kusamehewa madhambi yake kwa watu kumwambia Mungu amsamehe.

Kitabu cha mtu kinafungwa pale tu pumzi inapokata hivyo baada ya hapo amali zake akiwa hai ndizo zitamuongoza wapi aende huko akhera.



Wewe ni Muislam?

Kama ni Muislam, Muogope Allah na ukae chini uisome Dini yako. Nakuusia hili pamoja na kuiusia nafsi yangu.

Acha kuizungumza Dini bila Elimu.
 
Hizi royal family, tuzipojitahidi kuziondoa,tunskuja kutawaliwa na kundi la watu wachache na tunarudi enzi ya utumwa
 
Back
Top Bottom