TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

Ila sijui ni kwanini wanawake hawafi haraka kwasababu ya stress... Imagine mume wake karume kafa miaka sijui 1972....

Aisee wanaume tupunguze stress hata kama life limechapa Kaza huku unamwagilia moyo maji
 
π—§π—”π—‘π—­π—œπ—”: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97.

Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.

#KitengeUpdates
 
Nchimbi alienda kumtembelea akiwa anaumwa je sasa msibani atajitokeza?
 
Kifo ni kifo...wahenga walisema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…