Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamemcheza maskini duh
labda piadaah...so sad,pengine labda aliogopa dushelele!
Natamani kuona picha yake na bwana wake ningechangia mada vzr.
Alienda kula chuma cha moto cha mwisho mwisho kikamlevya
usipate tabu...huyo hapo bibi harusi
mtarajiwa aliyezua songombingo ....
![]()
Nasikia bwana harusi ana shafti kama ya punda bibi harusi alishindwa kuimudu mara kadhaa
Mkuu kaomba iahirishwe zaidi ya Mara kumi, kaaga anaenda kujisaidia akaomba apelekewe kanga na tishu, kaondoka kwa bodaboda kamlipa driver na kupanda gari ya abiria ana akili timamu huyo hakuna jini wala shetani alikuwa na mipango yake huyo
Nasikia bwana harusi ana shafti kama ya punda bibi harusi alishindwa kuimudu mara kadhaa
Duh hatari
Inawezekana ndo sababu hasa
Sie twabadilishana mawazo MMU, we watuletea mambo ya siasa, mzima weye?Ivi UKAWA wamekubali matokeo au bado?