Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

hahaaa bro unaangaliaje mbona ni mtu mzima anaonekana!!!!sema ndio ana bahati maana miaka 80 ni neema.
 
Bi hindu na mwenzake Bi chau hawa ni wazee wenye miili mizuri wanazeeka na utamu wao.
Wana mapendo kwakweli mioyo yao ina amani

Kuna mwingine full visirani sasa hivi hata hajazidi 45 ameshaota makunyanzi FaizaFoxy
Kwa hii comment yko km ww ni mdada sina shida na nikuombe radhi. Ila km ni mtt wa kiume utakuwa na matatizo ndugu yngu...
 
Hivyo eeh? Kwa hiyo Bi Hindu hali nyama? Halafu najiuliza mtu ana miaka 80 kwa nini bado yuko ofisini?

kampuni binafsi.. zinaajiri kama unaleta faida tu.. hata uwe na miaka 100 hawana noma...

bi hindu na uzee wake kwa utangazaji anamudu kuliko watoto wengi wa 20s au 30
 
Mkuu bila shaka age yako ni 35 years.
 
kampuni binafsi.. zinaajiri kama unaleta faida tu.. hata uwe na miaka 100 hawana noma...

bi hindu na uzee wake kwa utangazaji anamudu kuliko watoto wengi wa 20s au 30
Ahaa sawa. Naomba nikwambie kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…