Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

hahaaa bro unaangaliaje mbona ni mtu mzima anaonekana!!!!sema ndio ana bahati maana miaka 80 ni neema.
 
Bi hindu na mwenzake Bi chau hawa ni wazee wenye miili mizuri wanazeeka na utamu wao.
Wana mapendo kwakweli mioyo yao ina amani

Kuna mwingine full visirani sasa hivi hata hajazidi 45 ameshaota makunyanzi FaizaFoxy
Kwa hii comment yko km ww ni mdada sina shida na nikuombe radhi. Ila km ni mtt wa kiume utakuwa na matatizo ndugu yngu...
 
Hivyo eeh? Kwa hiyo Bi Hindu hali nyama? Halafu najiuliza mtu ana miaka 80 kwa nini bado yuko ofisini?

kampuni binafsi.. zinaajiri kama unaleta faida tu.. hata uwe na miaka 100 hawana noma...

bi hindu na uzee wake kwa utangazaji anamudu kuliko watoto wengi wa 20s au 30
 
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.

Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.

I used to think she was just born in the 1950s.

Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.

Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.

Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.

Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
Mkuu bila shaka age yako ni 35 years.
 
kampuni binafsi.. zinaajiri kama unaleta faida tu.. hata uwe na miaka 100 hawana noma...

bi hindu na uzee wake kwa utangazaji anamudu kuliko watoto wengi wa 20s au 30
Ahaa sawa. Naomba nikwambie kitu
 
Back
Top Bottom