Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Kwa hii comment yko km ww ni mdada sina shida na nikuombe radhi. Ila km ni mtt wa kiume utakuwa na matatizo ndugu yngu...
Nitakuwa shida gani? Iseme mara moja kabla sijachafua hali ya hewa maana nimechafukwa roho
 
Nitakuwa shida gani? Iseme mara moja kabla sijachafua hali ya hewa maana nimechafukwa roho
Shida yko ni hiyo ya kuchafukwa na Roho ww unaona kawaida narudia tna km ni mtt kike upo Sawa ila km mwaume utakuwa na shida...
 
Shida yko ni hiyo ya kuchafukwa na Roho ww unaona kawaida narudia tna km ni mtt kike upo Sawa ila km mwaume utakuwa na shida...
Kudadadeki zako unataka nini sasa?
 
Kumaanisha ?. Yani Mwalimu mkuumama ako tena mwalimu wa kiswahili halafu unashindwa kuelewa sentensi rahisi kama hii?
We umetukana haki si kwa muunganisho huu wa maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli umewadharau watoto wetu wa umri miaka 20s.sijapenda huo mlinganisho
 
Na kwa ukongwe huo umeshaona mengi sana bibi yetu hivyo nakusihi ungana na Kilomoni muipambanie kwelikweli klabu yetu ya Simba SC isiibwe na wahindi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hivi hicho kibibi huwa kina mume?
Bibi Hindu sidhani kama alikuwa kwy ndoa yule sio kwa utemi ule pale Simba Sports Club. Anawasha moto, mibaba mizima inamuogopa. Bibi wa Kariakooo kalea sana wajukuuu zake wakina Mohamed Dewj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…