Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.

Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.

I used to think she was just born in the 1950s.

Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.

Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.

Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.

Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
 
Hivi kabila gani huyu bibi, maana anaongea si mchezo.
 
hivi kabila gani huyu bibi, maana anaongea si mchezo.
Mluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.

Walio baki Moro ndio hao Waluguru

So basically Bi Hindu ni Mzaramo
 
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.

Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.

I used to think she was just born in the 1950s.

Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.

Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.

Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.

Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
Sawa bi Hindu tumekuelewa
 
Mluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.

Walio baki Moro ndio hao Waluguru

So basically Bi Hindu ni Mzaramo
Uongo wa empty skulled
 
Back
Top Bottom