Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Wanasayansi muhimu mkuu, ndo maana ya mgawanyo wa taaluma, huku kwa wanasiasa unatakiwa uwe tayari kuzomewa mbele ya familia yako wakikuchoka unaotaka kuwaongozaMkuu Oswald Daudi Mwakibete tungekuwa waoga wa physics leo hii tusingekuwa na Wahandisi, Madaktari, Marubani wazawa n.k kwahiyo Nchi ingekuwa inawarecruit wataalam kutoka nje tu, sisi tungeendelea kuzalisha wanasiasa tu😀😀😀