Bi. Katherinie Johnson ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo

Tuache kumsifia Maria Nyerere aliyetutunzia mzee, mpaka anatupa uhuru tuhangaike na mtu aliyekokotoa kwa ajili ya watu wa USA, fool
 
Dunia imebadilika sana. Siku hizi mwanamke mwenye wowowo anaringa kuliko mwenye degree!

- KANA -
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee ni black? Fame yakeingekuwa kuwa sana kama angekuwa white
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yangu tu ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo, hao wengine ni binadamu tu hawana ishu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma comments za humu ndio utajua Watz asili yetu ni uchawi, chuki na roho mbaya.... kuna mmoja amediriki hadi kumkashifu kwa maneno machafu bibi wa watu inasikitisha sana.

Tubadilikeni jamani kama maisha yamekupiga omba channel na sio kumkunjia ndita kila mtu kama vile ndie aliyekupa huo umaskini.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
Apollo ilikuwa ni safari ya kwenda kwenye Moon. Huko Mars ipo Curiosity Rover inafanya utafiti. Ilitumia MSL spacecraft kufika huko. Safari ilianza November 26,2011 na kuwasili Mars August 6,2012.(Safari ya miezi9 hivi) Ilikuwa ni safari ya umbali wa Kilomita Milioni 560. Chombo kilikuwa kinakwenda kwa speed ya 20'000Km/hr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app

Na wewe si urekebisha hapo basi, Apollo haijawahi kwenda kwenye sayari ya Mars! Labda kama unaongelea hii kitu!

Mars Pathfinder was a U.S. spacecraft that landed a base station with a roving probe on Mars on July 4, 1997. It consisted of a lander and a small 10.6 kilograms (23 lb) wheeled robotic rover named Sojourner, which was the first rover to operate on the surface of Mars.
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwetu tunawamaliza kwa tuhuma za ushirikina

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom