Bi. Katherinie Johnson ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo

Mkuu Oswald Daudi Mwakibete tungekuwa waoga wa physics leo hii tusingekuwa na Wahandisi, Madaktari, Marubani wazawa n.k kwahiyo Nchi ingekuwa inawarecruit wataalam kutoka nje tu, sisi tungeendelea kuzalisha wanasiasa tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Wanasayansi muhimu mkuu, ndo maana ya mgawanyo wa taaluma, huku kwa wanasiasa unatakiwa uwe tayari kuzomewa mbele ya familia yako wakikuchoka unaotaka kuwaongoza
 
Ww ndio umemuwekea hiyo nyodo.... stupid....alafu nani alikudanganya hesabu ni somo gumu ....labda kama ww ni kiazi...madem wanalingia k zao kutokana na uzuri wao....wp uliona mwanamke analingia akili....ww mbwisye kweli ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nigga povu povu povu kaoshee vyombo.
Sijasema hesabu ni ngumu, but kuna vipaji vya hesabu always ... mpaka mchango wake ulitambuliwa na serikali ya america na Nasa, angekuwa mbumbu darasan angefika hapo halipo?
Kwa record ndio mwanamke wa kwanza mweusi kufanya kazi na Nasa wkt huo ambapo ubaguzi kwa watu weusi ulikuwa mwingi.
yes she is smart and proud.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nahisi nyodo za mtu zinakua governed na law of supply and demand kwa maana demu akiwa sehem ambayo watu wana uhitaji wa misambwanda lazima awe na nyodo. Kwa hyo nyodo za mtu zinatokana na kile kitu alichonacho kuwa na uhitaji mkubwa. Ref. Mabinti wenye misambwanda mtaani, wanaume successful etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu umeliona ww.....siku nyingine jipange...unapo comment humu...jitahidi ujifunze kwa usahihi matumizi ya maneno ya kiswahili....unaconect vp nyodo na akili ya mtu???
 
daaa apo kwenye hesabu za projectile motion apo ndiyo patamu, binafsi ilinibidi nimkimbie mzee kazibure na kwenda kwa mzaramo machaga lakini bado nikaukuta mziki ni uleule........alooo kweli tumeka mbali
 
huku kitaa kuna bibi ana miaka 97 anatuambiaga aliwahi fanya kazi shirika la anga za juu lakini hakumbuki ni nchi gani.
(nmeandika uongo)
 
HKL tunakaa wapi?
Na sisi tujadili hata Agrarian Revolution!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ