aisee ni black? Fame yakeingekuwa kuwa sana kama angekuwa whiteBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yangu tu ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo, hao wengine ni binadamu tu hawana ishuBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyodo bila chura? Nakataa, haiwezekani.
Mama yako sio binadamu?Mama yangu tu ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo, hao wengine ni binadamu tu hawana ishu
Sent using Jamii Forums mobile app
Apollo ilikuwa ni safari ya kwenda kwenye Moon. Huko Mars ipo Curiosity Rover inafanya utafiti. Ilitumia MSL spacecraft kufika huko. Safari ilianza November 26,2011 na kuwasili Mars August 6,2012.(Safari ya miezi9 hivi) Ilikuwa ni safari ya umbali wa Kilomita Milioni 560. Chombo kilikuwa kinakwenda kwa speed ya 20'000Km/hrBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Msifie wewe mimi simjuiTuache kumsifia Maria Nyerere aliyetutunzia mzee, mpaka anatupa uhuru tuhangaike na mtu aliyekokotoa kwa ajili ya watu wa USA, fool
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwetu tunawamaliza kwa tuhuma za ushirikinaBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri.
Ni series au complete at once?Kuna movie yao inaitwa hidden figures ni nzuri sana very inspiring
Sent using Jamii Forums mobile app