Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Vijana naona mnajipanga kwa Mishangazi yenye biashara, hela na sunna za Mtume.
 
Robert uko sawa kwa sasa nakuelewa sana kuliko siku za nyuma
 
Huyo Khadija alikuwa mke ni ngapi? Ndo aliyekuwa na mkwanja .Mtume kumbe alikuwa Mario eeeh.

Alikuwa na vigezo vya kuwa na Mwanaume kama Muhammad SWA.

Hiyo Muhammad mwenye CV yake sio lelemama hata Kabla hajawa Mtume.
Kijana smart kichwani licha ya kuwa hakujua kusoma wala kuandika, alikuwa mhazini(mhasibu) Kwa wafanyabiashara wa kikurdi aliowatunzia Pesa Kwa sababu alikuwa mwaminifu.

Bi. Khadija kama Mama mfanyabiashara alishaona akiwa na Muhammad biashara zake zitakuwa na kutanuka. Na hicho kilitokea. Hicho ilikuwa mutual-relationship
 
Mkuu nakuelewa sana lakini biblia inasema Mungu atakupatia mke wa kufanana nae.

Mwanamke mwenye pesa na akili za michongo ya maisha KAMWE hawezi kuvutiwa na wanaume empty headed amigo.

Mwanaume ukiwa zero brain huwezi kujijua ila ukiona wanawake wenye akili za maisha wanakukimbia jua wewe zero brain.

Mwanamke mwenye hizo sifa atataka uwe na kitu cha ziada zaidi ya mkia wa kati.Atataka aidha uwe njema financially ili akikwama unaokoa jahazi au uwe njema kichwani.Unatema madini yakumsaidia kwenye hustle zake.Sio mzee mwenzangu unachoweza kutema ni wazungu tu na uongo uongo kibao.

Na mwanamke mwenye akili akishitukia tu wewe ni muongo muongo hata awe tajiri vipi hela yake hulambi😁.Atakuzoom tu then utaishia kum.mind kuwa ni mbinfsi chake chake chako chenu kumbe umeharibu mwenyewe.

Ukiona wanaweka wanaojitambua hawakukubali kubali tu kuwa wakufanana na wewe ni hawa dada zetu wa vocha na nauli na tuma na ya kutolea.

By the way,wote tukioa classic chicks nani atawapa joto dada zetu wa tuma na ya kutolea.😬
 
Tafuteni Wanawake ambao wanasifa za mithali 31. Hao ndio wanaitwa MKE na sio mtafute matapeli alafu kesho muqnze kuwalaumu Wanawake kuwa ni wabaya.

Jueni Maisha yenu yanathamani kuliko Jambo lolote
Sasa brother kwa Maisha haya ya Leo kila kitu wao washa adapt unadhani utampata tuuuuuh kiulaini kama zamani atabawo wazazi wenyewe ukiwaambia wanafanya kama wanabet😂😂😂Kwa ujumla ni ngumu aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…