Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Kiranga unakaba mpaka penalt mzee[emoji38] mpaka jina unalitoa dosari...!
Mkuu likikosewa jina la mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa, ukajikuta wewe unanyongwa, utasema jina ni kitu kidogo?
 
Bi Khadija alimuoa na kumharibu kabisa Mudy, akamfanya Mudy kuwa Marioo kutoka kuwa Mfanyabiashara maarufu pale Maka

Ila nasikia Bi khadija alikuwa anakata mauno sana na alikuwa anavaa shanga

Wanawake kama akina Mlolongo na Ustadhat FaizaFoxy wanaweza kumuelezea zaidi
aaaah tumswalieni Mtume jamani ndungu zangu, maana uko aliko hatujui limpatalo.
 
Mnaotaka wake bora ninyi ni bora?? Bi Hadija aliona ubora wa mtume ndio maana nae akajitoa kwake..

Mwanaume kutwa kubet na kushinda vijiweni na mitandaoni unataka mwanamke bora aje asulubike nawe?? Tunaona mifano mingi ya wanawake wanaoteseka na watoto ilhali waume zao wako hai kwa kuwa wao walikua bora wakajiweka kwa wanaume wapuuzi

Ubora wa ndoa ni two way traffic ndio maana zipo nyingi zinadumu na kuwa na mafanikio kiuchumi na zipo nyingi zinakufa kwa kuwa kila mmoja anategea mwenzie awe bora

Tafuta wako asiye bora mtengeneze,hakuna ndoa nyepesi kwakuwa kila mtu kalelewa kivyake na kupitia changamoto zake hadi anakutana na wewe
 
Huyo Bibi story yake alipanga harusi kwa kumblack Mail baba yake ambaye alikuwa Mlevi wakaandaa Sherehe ya ndoa alipolewa wakamuambia akigoma kukubali ndoa watamsemea kwa Wazee wa ki quraish kwani ilikuwa ni kosa kwa umri wake kulewa so ilibidi akibali binti yake Kizee kiolewe na Mudy.. so ulaghai ulikuwa mpango wake na inawezekana hata kifanikiwa kibiashara kulikuwa na mushkeri na ulevi mno.. mtu asifiwe na sifa zake zingine sio nzuri pekee
 
Yaani katika ushauri ambao siwezi mshauri MTU yeyote ni huo WA kuchukua kitu kisichobora ili ukifanya Bora.
Huo muda unaoutumia kumfanya MTU kuwa Bora asiye Bora ni Bora uutumie kutafuta MTU bora
 
Huyo Bibi story yake alipanga harusi kwa kumblack Mail baba yake ambaye alikuwa Mlevi wakaandaa Sherehe ya ndoa alipolewa wakamuambia akigoma kukubali ndoa watamsemea kwa Wazee wa ki quraish kwani ilikuwa ni kosa kwa umri wake kulewa so ilibidi akibali binti yake Kizee kiolewe na Mudy.. so ulaghai ulikuwa mpango wake na inawezekana hata kifanikiwa kibiashara kulikuwa na mushkeri na ulevi mno.. mtu asifiwe na sifa zake zingine sio nzuri pekee

Ni Sawa
 
Bi Khadija alimuoa na kumharibu kabisa Mudy, akamfanya Mudy kuwa Marioo kutoka kuwa Mfanyabiashara maarufu pale Maka

Ila nasikia Bi khadija alikuwa anakata mauno sana na alikuwa anavaa shanga

Wanawake kama akina Mlolongo na Ustadhat FaizaFoxy wanaweza kumuelezea zaidi

Acha uchokozi Mkuu.
Unafikiri Mwanamke Tajiri anaweza kukuchukua mwanaume na kumfanya mumewe kama huyo Mwanaume atakuwa legelege?
 
Back
Top Bottom