Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Story zote ni hypothetical na hata Maisha Yao hayakuwa kama tunavyoyakuza na kuwatukuza
 
Khadija bint khuwaila.
Ni aina ya Wanawake wale wanaotoa mali zao na kuwapa wapenzi wao ili wamudu kulipia mahari kwa ajili ya ndoa zao wao wenyewe,
Wanachokitafuta wao ni heshima tu ya kuwa na Mume, mambo mengine mwanaume atawafanyia kulingana na uwezo wake yeye mwenyewe.
 
Nimesoma tu kichwa Cha habari,itoshe kusema acha UMARIOO kijana..
 
Mwenyewe akiona ulivyoandika jina lake...
Yuko busy kuwaza pesa za Michelle kuliko hata kujua jina lake,Kweli nimeamini ,nimesoma kwenye world geographic kwamba Dunia imeinama kwenye muhimili wake kuelekea East Haya ndio matokeo😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…