Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Achana na hicho kipindi. Kipindi hicho kipo Kwaajili ya kuwafariji wanawake.
 
Yuko busy kuwaza pesa za Michelle kuliko hata kujua jina lake,Kweli nimeamini ,nimesoma kwenye world geographic kwamba Dunia imeinama kwenye muhimili wake kuelekea East Haya ndio matokeo[emoji26]
Hehee,

Inainamia East kama inatazama Al-Qabba?

Yule Michelle Obama huwa anampiga makwenzi mume wake live mpaka namhurumia yule Baba wa Kijaluo.

Wabongo watamuweza?
 
Hehee,

Inainamia East kama inatazama Al-Qabba?

Yule Michelle Obama huwa anampiga makwenzi mume wake live mpaka namhurumia yule Baba wa Kijaluo.

Wabongo watamuweza?
🤣🤣Al Qabba tena?una utani nao sio?


Si ndio wanajifanya wanataka wanawake wanaojielewa,watavumilia makwenzi si wanataka kitonga🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787]Al Qabba tena?una utani nao sio?


Si ndio wanajifanya wanataka wanawake wanaojielewa,watavumilia makwenzi si wanataka kitonga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dada mkubwa,

Unajua yule mama kam recruit, kam train kazini, kamtongoza Mjaluo, halafu kaolewa na watoto kamzalia.

Halafu wameanza mbali sana, alikuwa anasema Obama alivyokuwa anamchumbia, Obama alikuwa na kigari chake mkweche, kuna sehemu kilikuwa kimetoboka floor ukiangalia chini unaiona barabara.

Lakini mama alimuona huyu jamaa smart tutafika naye mbali, akavumilia tabu za miaka ya awali.

Sasa imagine wametoka mbali hivyo.

Wakati watu wanamshobokea leo Rais Obama, yeye anamuona huyu wa kawaida sana nishamuona katika hali zake zote.

Ndiyo maana mara nyingine anasema maneno tunaona kama yanamvunjia heshima Mjaluo.

Lakini, kitu muhimu ni kwamba wenyewe wanaelewana na hatujasikia hata scandal ya kimchepuko kimoja.

Kitu ambacho kwa Mjaluo wa kawaida ni kigumu sana, inaonekana mwenzetu kapatikana barabara.

Yani ile mpaka Mjaluo anaosha vyombo nyumbani, halafu anasema anapenda kuosha vyombo, kwake ni therapeutic.

Sasa na wewe mtafute Mjaluo wa Rorya halafu mwambie aoshe vyombo nyumbani uone moto wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Hii inaleta raha🤣
 
😂😂😂😂
 
Wanawake wa kusota na mwanamme mwenye potential kutoka naye chini kabisa na kum support mpaka mnapanda wote mpaka mnafika juu huko Bongo wapo?

Bongo hao Wazazi wenyewe wanaotaka mpaka Mahari mpaka Hapo hauelewi nini
 
Wanawake wa kusota na mwanamme mwenye potential kutoka naye chini kabisa na kum support mpaka mnapanda wote mpaka mnafika juu huko Bongo wapo?
Wapo mbona ankowang na auntyangu aisee wametoka mbali tangu wanakaa nyumba ya udongo had now wanamiliki maduka ya vifaa za magar
 
Wapo mbona ankowang na auntyangu aisee wametoka mbali tangu wanakaa nyumba ya udingi had now wanamiliki maduka ya vifaa za magar

Wapo wengi. Hata Mimi wapo ninaowajua.
Tatizo linakuja kwenye ubinafsi.
Mwanamke anaweza asiwe mbinafsi alafu mwanaume akawa mbinafsi, hapo mkwamo na anguko lazima litokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…