Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida ila katika hayo matumizi yake akumbuke tu, ada za watoto pamoja na matumizi ya mke na ya nyumbani vinamhusu huo ni wajibu wake wala siyo ombi, kama ambavyo mke majukumu yake ni kulea watoto na kufanya kazi za nyumbaniSawa,basi kaa tu muache akatafute mwenyewe na kisha ajipangie namna yakutumia pato lake.
Sister wewe kwanini unaogopa sana kuwa na mwanaume uliemzidi umri hata wa miaka 15 hauoni hata Mohammad nae ilikuwa hivyo?Nimesoma tu kichwa Cha habari,itoshe kusema acha UMARIOO kijana..
Sipendi kuchunwa 😁Sister wewe kwanini unaogopa sana kuwa na mwanaume uliemzidi umri hata wa miaka 15 hauoni hata Mohammad nae ilikuwa hivyo?
Sawa,nimekupata vyema,nitashikamana mkono na shemeji yakoUsiishie tu kumuombea bwashee kwa maneno matamu ya ghilba na kumuacha apambanie mafanikio yenu peke yake huku wewe ukitikisa guu juu ya sofa bali amka mshikamane na ushirikiane nae kujenga uchumi wa familia.
Sio kila mtu ni mchunajiSipendi kuchunwa 😁
Ahaaa, basi sawa!Hakuna shida ila katika hayo matumizi yake akumbuke tu, ada za watoto pamoja na matumizi ya mke na ya nyumbani vinamhusu huo ni wajibu wake wala siyo ombi, kama ambavyo mke majukumu yake ni kulea watoto na kufanya kazi za nyum
Nikweli kabisa 25 kwa 45.Nasikia alikuwa na UMRI mkubwa kuzidi Mtume...
Alikuwa mke wa kwanza na ndiyo mke pekee aliye mzalia watoto wengi.Huyo Khadija alikuwa mke ni ngapi? Ndo aliyekuwa na mkwanja .Mtume kumbe alikuwa Mario eeeh.
Siyo kweli alikuwa na miaka 28 na Mtume alikuwa na miaka 25.Nikweli kabisa 25 kwa 45.
Mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 28. Hakuwa sugar Mamy, muww mnasoma na kutafiti habari.Sema Khadija (sugar mum) alikuwa mfanya biashara na mtume alikuwa house boy tu! Vipi hao wengine aliooa baadaye hawakuwa supportive? Ukimsahau bi Aisha ambaye nguo zake zilipovaliwa na mtume,ndipo alipopata wahyi utakuwa haujautendea haki Uislam!
Harafu Mariam Magdalena hawakuwa mke wa Yesu mpaka awe supportive kwa mantiki hiyo!
Ndivyo waislamu mlivyodanganywa?Mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 28. Hakuwa sugar Mamy, muww mnasoma na kutafiti habari.
Kasome tenaSiyo kweli alikuwa na miaka 28 na Mtume alikuwa na miaka 25.
Naongelea elimu unaleta utoto. Thibitisha ya kuwa hakuwa na umri huo.Ndivyo waislamu mlivyodanganywa?
Nimeshalisoma sana hili, hata mimi nilivyo kuwa nakuwa nilijua mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 40 na vitabu vingi vimeandika hivyo, ila wahakiki wa habari katika wanazuoni wa kiislamu wamezipekuwa riwaya hizo zinazosema miaka 40 na zinazosema miaka 28 ikaonekana za miaka 28 ni sahihi zaidi.Kasome tena
Muhammad was first married at the age of 25 to the 40-year-old Khadija, his employer, a woman of considerable wealth who reportedly supported him financially and emotionally.[5][6] He remained monogamous with her until her death,[7] after which, upon his migration to Medina, he acquired about one wife per year. He did not, however, have a Medinan wife, presumably because they did not embrace Islam's approval of polyginy and its curtailment of their right to inheritance.[8] Although Muslims are limited to having only four wives at a time,[9] Muhammad was exempted from this ruling and was allowed to have an unlimited number of wives and concubines.[10] Muhammad's wives were not allowed to remarry after his death, including Aisha who was only 18 at the time.[11]Naongelea elimu unaleta utoto. Thibitisha ya kuwa hakuwa na umri huo.
Habari hatunkuuu hivi kijana, nenda kanukuu tena, kisha ulete uhakiki wa habari hii.Muhammad was first married at the age of 25 to the 40-year-old Khadija, his employer, a woman of considerable wealth who reportedly supported him financially and emotionally.[5][6] He remained monogamous with her until her death,[7] after which, upon his migration to Medina, he acquired about one wife per year. He did not, however, have a Medinan wife, presumably because they did not embrace Islam's approval of polyginy and its curtailment of their right to inheritance.[8] Although Muslims are limited to having only four wives at a time,[9] Muhammad was exempted from this ruling and was allowed to have an unlimited number of wives and concubines.[10] Muhammad's wives were not allowed to remarry after his death, including Aisha who was only 18 at the time.[11]
Kama aliolewa na mtume akiwa na miaka 28, ndoa yake ya kwanza aliolewa akiwa na miaka mingapi!? Kumbuka mara baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alikaa miaka kadhaa kabla ya kukubali kuolewa na mtume.Nimeshalisoma sana hili, hata mimi nilivyo kuwa nakuwa nilijua mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 40 na vitabu vingi vimeandika hivyo, ila wahakiki wa habari katika wanazuoni wa kiislamu wamezipekuwa riwaya hizo zinazosema miaka 40 na zinazosema miaka 28 ikaonekana za miaka 28 ni sahihi zaidi.