Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Sawa,basi kaa tu muache akatafute mwenyewe na kisha ajipangie namna yakutumia pato lake.
Hakuna shida ila katika hayo matumizi yake akumbuke tu, ada za watoto pamoja na matumizi ya mke na ya nyumbani vinamhusu huo ni wajibu wake wala siyo ombi, kama ambavyo mke majukumu yake ni kulea watoto na kufanya kazi za nyumbani
 
Usiishie tu kumuombea bwashee kwa maneno matamu ya ghilba na kumuacha apambanie mafanikio yenu peke yake huku wewe ukitikisa guu juu ya sofa bali amka mshikamane na ushirikiane nae kujenga uchumi wa familia.
Sawa,nimekupata vyema,nitashikamana mkono na shemeji yako
 
Yap, big up Jo'
nakukubali sana kwakuwa wewe ni muelewa na sio mwanamke legelege.
 
Hakuna shida ila katika hayo matumizi yake akumbuke tu, ada za watoto pamoja na matumizi ya mke na ya nyumbani vinamhusu huo ni wajibu wake wala siyo ombi, kama ambavyo mke majukumu yake ni kulea watoto na kufanya kazi za nyum
Ahaaa, basi sawa!
Naamini bado ni msichana mdogo unamuda wakujifunza zaidi.
 
Sema Khadija (sugar mum) alikuwa mfanya biashara na mtume alikuwa house boy tu! Vipi hao wengine aliooa baadaye hawakuwa supportive? Ukimsahau bi Aisha ambaye nguo zake zilipovaliwa na mtume,ndipo alipopata wahyi utakuwa haujautendea haki Uislam!
Harafu Mariam Magdalena hawakuwa mke wa Yesu mpaka awe supportive kwa mantiki hiyo!
 
Huyo Khadija alikuwa mke ni ngapi? Ndo aliyekuwa na mkwanja .Mtume kumbe alikuwa Mario eeeh.
Alikuwa mke wa kwanza na ndiyo mke pekee aliye mzalia watoto wengi.

Mtume alikuwa Kiongozi, alikuwa baba, alikuwa mpiganaji, alifanya biashara.

Alichokifanya mama Khadija kwa Mtumie, ni kumkabidhi Mtumie biashara zake, akawa anaziendesha yeye na kuzisimamia.

Kiumri mama Khadija alimzidi Mtume miaka 3, yaani 28 kwa 25 na haya ndiyo mapokezi sahihi na si yale ya miaka 40 kwa 25.
 
Sema Khadija (sugar mum) alikuwa mfanya biashara na mtume alikuwa house boy tu! Vipi hao wengine aliooa baadaye hawakuwa supportive? Ukimsahau bi Aisha ambaye nguo zake zilipovaliwa na mtume,ndipo alipopata wahyi utakuwa haujautendea haki Uislam!
Harafu Mariam Magdalena hawakuwa mke wa Yesu mpaka awe supportive kwa mantiki hiyo!
Mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 28. Hakuwa sugar Mamy, muww mnasoma na kutafiti habari.
 
Kasome tena
Nimeshalisoma sana hili, hata mimi nilivyo kuwa nakuwa nilijua mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 40 na vitabu vingi vimeandika hivyo, ila wahakiki wa habari katika wanazuoni wa kiislamu wamezipekuwa riwaya hizo zinazosema miaka 40 na zinazosema miaka 28 ikaonekana za miaka 28 ni sahihi zaidi.
 
Naongelea elimu unaleta utoto. Thibitisha ya kuwa hakuwa na umri huo.
Muhammad was first married at the age of 25 to the 40-year-old Khadija, his employer, a woman of considerable wealth who reportedly supported him financially and emotionally.[5][6] He remained monogamous with her until her death,[7] after which, upon his migration to Medina, he acquired about one wife per year. He did not, however, have a Medinan wife, presumably because they did not embrace Islam's approval of polyginy and its curtailment of their right to inheritance.[8] Although Muslims are limited to having only four wives at a time,[9] Muhammad was exempted from this ruling and was allowed to have an unlimited number of wives and concubines.[10] Muhammad's wives were not allowed to remarry after his death, including Aisha who was only 18 at the time.[11]
 
Habari hatunkuuu hivi kijana, nenda kanukuu tena, kisha ulete uhakiki wa habari hii.
 
Nimeshalisoma sana hili, hata mimi nilivyo kuwa nakuwa nilijua mama Khadija alilolewa na Mtume akiwa na miaka 40 na vitabu vingi vimeandika hivyo, ila wahakiki wa habari katika wanazuoni wa kiislamu wamezipekuwa riwaya hizo zinazosema miaka 40 na zinazosema miaka 28 ikaonekana za miaka 28 ni sahihi zaidi.
Kama aliolewa na mtume akiwa na miaka 28, ndoa yake ya kwanza aliolewa akiwa na miaka mingapi!? Kumbuka mara baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alikaa miaka kadhaa kabla ya kukubali kuolewa na mtume.
 
Back
Top Bottom