TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

Kukuvutia kivipi? Kwenye kuimba ama maumbile?

kila kitu kama yule anti kwenye kipindi cha watoto kwenye TV ZANZIBAR

huwa i never miss kila kipindi..na hasa akielezea michoro iliyotumwa na watoto kwenye tv
 
DAA!!..tutammiss mtu muhimu sana kwenye fani ya mziki...lakini ndo maisha..MUNGU alitoa na sasa ametwaa jina lake libarikiwe..
poleni ndugu na jamaa na watoto wa marehemu na washabiki wake..na wapenda mziki kiujumla hasa wa taarabu
 
unakumbuka ile nyimbo ya Marehemu LEYLA KHATIBU ilikuwa inaitwa kama maneno bunduki?

basi siku hizi my favorite amekuwa SABAH MUCHACHO
 
TUNGEPENDA KUELEWA NINI CHANZO CHA KIFO CHAKE?wadau toeni data.
 
Poleni Wafiwa... Bwana awatie Nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mlimpenda lakini bwana kampenda zaidi. Amen.
 
Poleni sana wafiwa na mashabiki wake wote, sisi sote ni waja Allah na kwake ni marejeo.
 
TUNGEPENDA KUELEWA NINI CHANZO CHA KIFO CHAKE?wadau toeni data.

Bata mbona unasaili sana vipi?

Nway marehemu alijisikia kuumwa kama malaria akaenda kucheck afya yake ndo akagundulika anao moyo mkubwa! Mara akajisikia kukosa hewa wakamwekea Oxygen then MUNGU akamwita naye akaitika. Just like that

So poa moyo Bata!
 
unakumbuka ile nyimbo ya Marehemu LEYLA KHATIBU ilikuwa inaitwa kama maneno bunduki?

basi siku hizi my favorite amekuwa SABAH MUCHACHO

Mimi namkumbuka kwa kile kibao chake cha "Dondoa" that was master class!
 
ahh mie namfananisha na yule anti kwenye kipindi cha waoto jioni kwenye TV ZANZIBAR...achukua karatasi zilizochorwa na wattoo kwenye kipindi cha mtoto kwa mtoto kisha anaanza
: Ushaona eeeh basi ukitaka chora shurti uzungushe namna hii eeeh sawa eeeh,

lips zake na za Bi leyla Khatibu hazina tofauti

btw

Namsikiliza ABBAS MZEE hapa nakuambia MAJIRANIII PIA WOTE NI WAZAZI...bwana harus na bi harusi ahhh staki mie
 
Poleni wadau wote wa taarab tanzania kwa kumpoteza mwana taarabu mwenzetu.
Sisi sote njia yetu ni hiyo hiyo ila yeye katutangulia,inshaalah.
 
ahh mie namfananisha na yule anti kwenye kipindi cha waoto jioni kwenye TV ZANZIBAR...achukua karatasi zilizochorwa na wattoo kwenye kipindi cha mtoto kwa mtoto kisha anaanza
: Ushaona eeeh basi ukitaka chora shurti uzungushe namna hii eeeh sawa eeeh,

lips zake na za Bi leyla Khatibu hazina tofauti

btw

Namsikiliza ABBAS MZEE hapa nakuambia MAJIRANIII PIA WOTE NI WAZAZI...bwana harus na bi harusi ahhh staki mie
Acha hizo nawe!!!. Mungu amlaze mahala pema Bi Nasma, Amin.
 
ahh mie namfananisha na yule anti kwenye kipindi cha waoto jioni kwenye TV ZANZIBAR...achukua karatasi zilizochorwa na wattoo kwenye kipindi cha mtoto kwa mtoto kisha anaanza
: Ushaona eeeh basi ukitaka chora shurti uzungushe namna hii eeeh sawa eeeh,

lips zake na za Bi leyla Khatibu hazina tofauti

btw

Namsikiliza ABBAS MZEE hapa nakuambia MAJIRANIII PIA WOTE NI WAZAZI...bwana harus na bi harusi ahhh staki mie

E bwana al marhum Abbas Mzee khabari zake kubwa! Hivi katika archives zako anazo nyimbo hizi, Fitina, unanunia nini?, Yatima, Ubaya, Harusi furaha yake na Njiwa wangu kakimbia?

Kama unazo hizo I bet wewe utakuwa mtu wa Dar, Znz, Kilwa au coast region...
 
Back
Top Bottom