TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

Sisi majirani zake wa pale Mogolandege, Ukonga tunasikitika sana kuondokewa na kipenzi chetu. Pengo lake halitazibika, Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe milele. Amen
 
nasmakidogo.jpg

Mtunzi na mwimbaji maarufu wa taarab aina ya 'mipasho' Nasma Khamis, amefariki.
 
R.I.P Nasma.
Poleni sana wanafamilia na watoto na mume wake. Ila jamani ni vema tuwe tunazingantia vimo vyetu viendandane na unene wetu (Body Mass Index- BMI). Unene wa kuzidi kiasi (Obesy) ni hatari, pengine unakuwa si genetically bali ni wa ugonjwa, hasa moyo. Tupime uzito na kupata ushauri wa kidaktari. Dada yangu Nasma alikuwa mnene sana pia.
 
Apumzike kwa amani!

Ila unene mwingine nadhani una mvamia mtu tu, wakati anaimba wimbo wa sanamu ya michellin, akirusha kijembe kiaina kwa Kopa, yeye alikuwa kimobitel enzi hizo.. inashangaza alivobadilika ghafla akanenepa, nahisi unene nao ni ugonjwa ukiamua kukuvamia hata ufanyeje unaumuka tu!
 
R.I.P Nasma.
Poleni sana wanafamilia na watoto na mume wake. Ila jamani ni vema tuwe tunazingantia vimo vyetu viendandane na unene wetu (Body Mass Index- BMI). Unene wa kuzidi kiasi (Obesy) ni hatari, pengine unakuwa si genetically bali ni wa ugonjwa, hasa moyo. Tupime uzito na kupata ushauri wa kidaktari. Dada yangu Nasma alikuwa mnene sana pia.
Mkuu tupe maelezo viZuri kuhusu BMI
 
PUMZIKA KWA AMANI BI.NASMA KHAMIS KIDOGO

Mwimbaji maarufu wa muziki wa mwambao (taarab) nchini Tanzania, Bi.Nasma Khamis Kidogo,amefariki dunia. Kwa mujibu wa gazeti la Habari Leo.

Bi.Nasma alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi kutokana na ugonjwa wa malaria. Vyombo vingine mbalimbali vya habari vimeripoti kwamba Bi.Nasma ameiaga dunia kutokana na ugonjwa wa moyo ambao umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Kifo cha Nasma ni pigo kubwa kwa ulimwengu wa taarab.Ilikuwa ni Bi.Nasma na shoga yake Khadija Omar Kopa ambao waliifanya taarab kupendwa zaidi hususani walipoanzisha style iliyokuja kujulikana kote Afrika Mashariki kama “mipasho”. Hapo ndipo nyimbo zake kama Taarab Iko Huku na Salamu la Michelini zilipokuwa gumzo na kivutio cha kila sikio.Mojawapo ya nyimbo zake ambazo pia zilipendwa ni ule ulioitwa Mwanamke Mazingira.
 
Unachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom