Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P Nasma.
Poleni sana wanafamilia na watoto na mume wake. Ila jamani ni vema tuwe tunazingantia vimo vyetu viendandane na unene wetu (Body Mass Index- BMI). Unene wa kuzidi kiasi (Obesy) ni hatari, pengine unakuwa si genetically bali ni wa ugonjwa, hasa moyo. Tupime uzito na kupata ushauri wa kidaktari. Dada yangu Nasma alikuwa mnene sana pia.
Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios.
Kisasi hadi kaburini?Nasikia mama Zuchu hakuenda msibani kisa wimbo WA Sanamu ya Michelini.
Mkuu tupe maelezo viZuri kuhusu BMIR.I.P Nasma.
Poleni sana wanafamilia na watoto na mume wake. Ila jamani ni vema tuwe tunazingantia vimo vyetu viendandane na unene wetu (Body Mass Index- BMI). Unene wa kuzidi kiasi (Obesy) ni hatari, pengine unakuwa si genetically bali ni wa ugonjwa, hasa moyo. Tupime uzito na kupata ushauri wa kidaktari. Dada yangu Nasma alikuwa mnene sana pia.
UnachanganyikiwaPUMZIKA KWA AMANI BI.NASMA KHAMIS KIDOGO
Mwimbaji maarufu wa muziki wa mwambao (taarab) nchini Tanzania, Bi.Nasma Khamis Kidogo,amefariki dunia. Kwa mujibu wa gazeti la Habari Leo.
Bi.Nasma alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi kutokana na ugonjwa wa malaria. Vyombo vingine mbalimbali vya habari vimeripoti kwamba Bi.Nasma ameiaga dunia kutokana na ugonjwa wa moyo ambao umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Kifo cha Nasma ni pigo kubwa kwa ulimwengu wa taarab.Ilikuwa ni Bi.Nasma na shoga yake Khadija Omar Kopa ambao waliifanya taarab kupendwa zaidi hususani walipoanzisha style iliyokuja kujulikana kote Afrika Mashariki kama “mipasho”. Hapo ndipo nyimbo zake kama Taarab Iko Huku na Salamu la Michelini zilipokuwa gumzo na kivutio cha kila sikio.Mojawapo ya nyimbo zake ambazo pia zilipendwa ni ule ulioitwa Mwanamke Mazingira.
Joto + plus mgao wa umeme na maji unategemea niniUnachanganyikiwa