Bi Sandra mbona kam unfollow Rayvan Insta? kulikoni?

mkuu inabidi tusali sana ili kunusuru watoto wa kizazi hiki
Siku hizi watoto wa kiume wanahitaji uangalizi mkubwa kuliko watoto wa kike.

"Chunga sana mtoto wako wa kiume wewe mama, chunga sana mtoto wako wa kiume wewe baba"
 
utakuwa namatatizo ya kupumuliwa wew .. apa juzi tu kamposti na kum wish siku yake yakudhaliwa wew unaleta uharo wako apa ..tafuta kazi yakufanya bwegedude.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, kwani kumfollow mtu nako ni maada? Unampangia mtu kunfollow mtu. Acha uhuru wa mtu... Bila shaka wewe ni mvulana ukikua utaacha. Lakini angalia uikue ukawa shoga maana hiyo habari yako ni ya kipumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.

Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza kwa makini zaidi utagundua hakuna mkristo hata mmoja ambaye Bi Sandra amemfollow ,na kama itatokea kuna mkristo amemfollow basi huyo ni team Bi Sandra kupindua ambaye 24/7 anakesha insta kumpamba Bi Sandra.

Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kumkwepa au kumkataa pia Queen Darlin, sasa sijui kisa ni mtoto wa mke mwenza kwa mzee Abdul?
Acha ramli chonganishi
Huyo mama ana access na Rayvanny masaa 24,kumfollowa kuna faida gani kama ni picha anaanza kuziona yeye kabla ya kurushwa instagram
 
yn unakuta mtu ana wafuasi 3m lkn aki-unfollow mmoja, lzm watu wa nje wajue.
hz nguvu za kutafuta mambo hayo pelekeni ht kusafisha barabara
 
Bi Sandra?hili jina sio geni,bila shaka ni mkuu wa wilaya ya Kiteto.
 
[emoji28]
Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.

Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza kwa makini zaidi utagundua hakuna mkristo hata mmoja ambaye Bi Sandra amemfollow ,na kama itatokea kuna mkristo amemfollow basi huyo ni team Bi Sandra kupindua ambaye 24/7 anakesha insta kumpamba Bi Sandra.

Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kumkwepa au kumkataa pia Queen Darlin, sasa sijui kisa ni mtoto wa mke mwenza kwa mzee Abdul?
 
Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.

Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza kwa makini zaidi utagundua hakuna mkristo hata mmoja ambaye Bi Sandra amemfollow ,na kama itatokea kuna mkristo amemfollow basi huyo ni team Bi Sandra kupindua ambaye 24/7 anakesha insta kumpamba Bi Sandra.

Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kumkwepa au kumkataa pia Queen Darlin, sasa sijui kisa ni mtoto wa mke mwenza kwa mzee Abdul?
Acha ujinga wew kwani uyo bi Sandra Na mwanae wana uislam upi ?? Ote si makafiri tu
 
Back
Top Bottom