Hivi bia zimeshuka bei mkuu?Nikinywa bia ambazo bei inaenda kushuka kuanzia Leo hii halafu nikala kitomoto maisha yanakuwa matamu sana na inanikumbusha Ruaha Morogoro acha tu.
Uko Mwanza mkuu...balimi??![emoji14][emoji14]View attachment 1836781
Karibu nimemaliza kupiga
Nikinywa bia ambazo bei inaenda kushuka kuanzia Leo hii halafu nikala kitomoto maisha yanakuwa matamu sana na inanikumbusha Ruaha Morogoro acha tu.
NakaziaaHivi bia zimeshuka bei mkuu?
Uko Mwanza mkuu...balimi??![emoji14][emoji14]
Zimeshashuka au bado?Nakaziaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa vavieee... kitimoto ya tekla pale kwa mangulwaaa kibokoo. Ila anko wangu sijui kwanini aliacha kaanga wakati mkuu yote pale alikua anakimbizaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kitimoto ya mkoani ikiwa fresh ni taamu balaaa yaani. Sema wengi hawana maujuzi ya kupika roast lake. Yaaanii ya mkoa haihitaji efforts halaf ni bei chee[emoji23][emoji23] ulisikia bia ni chakulaaa wee mang'aa?
As long as tunaishi na munambagua huyu kiumbe wa Mungu tutamlinda na kumtetea hadi liambaaa[emoji200][emoji200][emoji241][emoji241][emoji179][emoji179][emoji179]