Bia na kitimoto ipi tamu?

Bia na kitimoto ipi tamu?

Ulaji wa sana wa Nyama ya kitimoto unasababisha Ugonjwa uitwao "Epigenetics"---- huu ni ugonjwa unaoshambulia "Genes" za mlaji kitimoto.

Nyama ya kitimoto ni hatari sana kwa maneno mengine ni Sumu kwa binadamu na ndio maana kuna baadhi ya watu ambao miiki yao ni sensitive wakila hata kipande kidogo tu hupata Allergic reaction kali sana, hii maana yake ni kwamba sumu ya hiyo nyama ikiingia mwili ni huenda moja kwa moja kuathiri chembe hai za mwili kwenye "Genes" (Epigenetics).

Katika wanyama "wanaoliwa kimakosa"ni nguruwe tu ambaye hufanya ushoga, madume nawili ya nguruwe yakikaa pamoja ni lazima yafanye ushoga.

Watu wanaokula sana kitimoto na wao wanayo nafasi kubwa ya kuambukizwa tabia ya Ushoga kwani kitimoto anachokula huambukiza tabia za ushoga kwa huyo mtumiaji kutokana na "Epigenics", wataalamu wa Lishe na chakula wanasema; "you are what you eat", yaani mwili wako upo hivy kutokana na vyakula unavyokula, mfano hai rahisi ni huu; ukienda porini na ukaona madume ya Simba yanafanya Ushoga basi peleleza mahali hapo na bila shaka utakuta maeneo hayo waliopo hao simba kuna nguruwe pori wengi na hao ndio chakula kikuu cha hao simba. Chunguza pia jamii ya watu wanaoshabikia ushoga utakuta ni walaji wakubwa wa kitimoto na watakuwa walianza kula toka wangali watoto hao wote Epigenetics imewaathiri kwa kula kitimoto.

Katika wanyama ambaye inadhaniwa yupo karibu sana na Mwanadamu katika mifumo ya chakula na viungo ni nguruwe, na ndio maana watafiti wa tiba za binadamu wanafanya tafiti kuona ni jinsi gani viungo vya nguruwe kama macho, ini, mafigo, kongosho, moyo nk, vinaweza vipi kutumika kupandikizwa kwa mwanadamu, kifupi ni kwamba nyama ya kitimoto ipo karibu sana na nyama ya binadamu na mlaji wa kitimoto yupo karibu sana na mlaji wa nyama ya binadamu, na ndiyo maana mlaji wa kitimoto ukimwambie aache kula hapo umechokoza vita jinsi inavyosemwa kwamba mlaji wa nyama ya binadamu ukimwambia aache kula inavyokuwa ni vita.

Katika wanyama ambao mmeng'enyo wao wa chakula ni hafifu sana ni pamoja na nguruwe, mmeng'enyo unapokuwa hafifu unasababisha kutengenezwa kwa sumu (toxins) tumboni mwake, inapoondolewa na mfumo wa umengenyaji hiyo sumu huenda kuhifadhiwa katika mafuta mwilini mwake hivyo utaona mafuta ya nguruwe ndiyo yamebeba sumu nyingi zinazoathiri watumiaji na kuwasababishia "Epigenetics".

Mafuta ya nguruwe kwakuwa ni aina fulani ya sumu ndiyo maana nguruwe akigongwa na nyoka kamwe haathiriki kwani sumu ya nyoka huwa "neutralised", kupitia principle ya like dissolves like.

Kuhusu madhara ya pombe, hiyo mada inajukikana sana na hakuna haja ya kuijadili hapa.
Unakuta hizo research kafanya mwanasayansi anaitwa Mohammed Abdallah
 
Wewe, mimi siongelei kufuga kitimoto, mimi naongelea kula kitimoto, au hujui tofauti ya kufuga na kula???--- kweli wewe ni mtu wa kijijini.
mfano hapa bongo mashoga wengi wanapatikana wapi hilo linajulikana...Je nguruwe wengi wanapatikana wapi?
Tunataka tufanye correlaztion statistics
 
Ila humu duniani kuna raha sana ila mpaka uwe na vitu hivi:

1.Afya njema

2.Hela/ pesa isiyo na mashaka

3. Kitimoto

4. Ulabu ( hasa wine zile expensive sweet one wee utajilaambaa na kitimoto pembeni)
 
mfano hapa bongo mashoga wengi wanapatikana wapi hilo linajulikana...Je nguruwe wengi wanapatikana wapi?
Tunataka tufanye correlaztion statistics


Aiseee, Umewajuaje mashoga WENGI wa Bongo na mahali walipo ??!!, 😒 mwanaume mzima!!!
 
Aiseee, Umewajuaje mashoga WENGI wa Bongo na mahali walipo ??!!, [emoji19] mwanaume mzima!!!
Tembea uone wahenga wanasema...wewe unaweza kuona kawaida ila mimi nilitoka Kwetu igwambiti sikuzoea kuona wanaume wamesuka ila kuna Sehemu hapa Tz watu wanapakuana kawaida.
Haya Sehemu gani bongo inaongoza Kufuga nguruwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta hizo research kafanya mwanasayansi anaitwa Mohammed Abdallah


Huwezi kukubali Research ya mtu yeyote kwani uroho wa kitimoto umepofua ufahamu wako kiasi kwamba hata andiko la Biblia linalokataza ulaji wa kitimoto hulioni!!. (Leviticus).

Kama unapinga andiko unaloliamini ni kutoka kwa Mungu mimi nani ukubali nisemacho??!!.
 
Lini ulisikia Wataalamu wabobezi wa mambo ya lishe na Chakula wanatoka Arabuni au Afrika??!!.
Muda sana Nilisikia jamaa mmoja mwanasayansi anaitwa Abdul alikuwa ameweka research ya Lishe iliyopo kwenye maji ya Zamzam huko mecca....Akawa anasema yale maji Hata utupemo punda aliyekufa hayawezi kuchafuka bado yananyweka kwasababu yana Chemical fulani inayopatikana hapo tu...Tena huyo jamaa alikuwa na Masters kama sikosei ya Biochemistry.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kukubali Research ya mtu yeyote kwani uroho wa kitimoto umepofua ufahamu wako kiasi kwamba hata andiko la Biblia linalokataza ulaji wa kitimoto hulioni!!. (Leviticus).

Kama unapinga andiko unaloliamini ni kutoka kwa Mungu mimi nani ukubali nisemacho??!!.
Mimi personally sili kitimoto Lakini ni makosa makubwa sana kulazimisha Sayansi itetee udini wako....kwahyo Research za mlengo wa kutetea maandiko huwa ni upuuzi...Sayansi haijaja kutetea dini
Mfano:Huwezi kuthibitisha kitu chochote kiliumbwa na Mungu lakini pia huwezi kuthibitisha kitu chochote hakijaumbwa Na Mungu...kwahyo dini haiwezi kuthibitisha kwa scientific argument kama ambavyo sayansi haiwezi kudisprove uwepo wa majini,mizimu,malaika nk.


Sayansi ni kifaa tu ambacho binadamu hutumia kugundua na kuuelezea ulimwengu unaoonekana(physical world) na wala haikuja kuprove au kuprove mambo ya kiroho(spiritual world)
wanaoifosi itetee milengo yao ya kidini wanakosea

Dini kwa upande mwingine ni system ya imani tu...amabayo haiitaji proof yoyote

kwahyo usijaribu kutumia sayansi kuprove dini yako isivyopenda nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom