Bia na kitimoto ipi tamu?

Bia na kitimoto ipi tamu?

Yan wewe, ngoja kwanza nimalize kulia 😀😀

Tafuna salama tu, ngoja mie nikatafute Loshoro
Hapana hiyo ni yako mpenzi
Najaribu kukurudisha kwa mood ili uniambie hayo maamuzi uliyafanya ukiwa sober au ukiwa na smirnoff kichwani😏
 
Hapana hiyo ni yako mpenzi
Najaribu kukurudisha kwa mood ili uniambie hayo maamuzi uliyafanya ukiwa sober au ukiwa na smirnoff kichwani😏
😏 naona unataka kuniangushia jumba bovu wakati ulikata nyaya mwenyewe.

Ujiandae kulipa faini babe, maana hiyo hasira Niko nayo teh teh
 
Ila humu duniani kuna raha sana ila mpaka uwe na vitu hivi:

1.Afya njema

2.Hela/ pesa isiyo na mashaka

3. Kitimoto

4. Ulabu ( hasa wine zile expensive sweet one wee utajilaambaa na kitimoto pembeni)
Hakuna starehe kubwa zaidi ya hii!🤗🤗🤗
Img-1607233208968.jpg
 
Mimi personally sili kitimoto Lakini ni makosa makubwa sana kulazimisha Sayansi itetee udini wako....kwahyo Research za mlengo wa kutetea maandiko huwa ni upuuzi...Sayansi haijaja kutetea dini
Mfano:Huwezi kuthibitisha kitu chochote kiliumbwa na Mungu lakini pia huwezi kuthibitisha kitu chochote hakijaumbwa Na Mungu...kwahyo dini haiwezi kuthibitisha kwa scientific argument kama ambavyo sayansi haiwezi kudisprove uwepo wa majini,mizimu,malaika nk.


Sayansi ni kifaa tu ambacho binadamu hutumia kugundua na kuuelezea ulimwengu unaoonekana(physical world) na wala haikuja kuprove au kuprove mambo ya kiroho(spiritual world)
wanaoifosi itetee milengo yao ya kidini wanakosea

Dini kwa upande mwingine ni system ya imani tu...amabayo haiitaji proof yoyote

kwahyo usijaribu kutumia sayansi kuprove dini yako isivyopenda nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app



Sijui umeandika kitu gani??!!!

Nilipoandika juuu ya madhara ya ulaji kitimoto mimi sikuhusisha jambo hilo na imani yoyote ya dini, mimi niliangalia upande wa sayansi tu kinyume chake ni wewe uleingiza imani za kidini kuonyesha kwamba ni imani ya dini moja tu ndio inakataza watu watu wasile kitimoto, mimi nikakuonyesha kwamba hiyo siyo imani ya dini moja.

Kwakuwa umepotosha masuala ya imani za dini na sayansi Sasa mimi nasema unatakiwa ujifunze mambo haya:-

1---Dini inasimamia juu maneno ya Mungu.
2----Sayansi inasimamia juu ya uumbaji wa Mungu.

Zote dini na sayansi ya kweli ni mali za Mungu, vyote vinatoka kwake ni ujinga kusema kwamba sayansi ya kweli haihusiani na dini.

Angalia; Mtu akiugua maana yake kaathirika kimwili (uumbaji wa Mungu umeathirika) hivyo hawezi kufanya ibada sawasawa au anaweza asifanye ibada kabisa hapo utaona roho yake pia huathirika "negatively" hivyo kwa upande wa dini anaathirika negatively, halikadhali mtu mwenye njaa mwili huathirika kwa njaa na hivyo hawezi kufanya ibada na hivyo he will be spiritually affected, hapo sasa utaona maumbile (sayansi) na roho (dini) zinavyohusiana.

Kamwe huwezi kutenganisha sayansi ya "kweli" na Imani za dini ya "kweli", leo bila sayansi basi ibada zetu tusingetekeleza kwa Ufanisi, ni sayansi imesaidia kuchapisha Qur'an, Biblia, imesaidia kurahisisha mahubiri na matangazo ya kidini nk, hii maana yake Sayansi ni toothful tool (not toothless) katika kusaidia kutekekeza masuala ya kidunia na kiimani pia, a true science and a true doctrines are inseparable and they work together.

Nyama ya nguruwe ni nyama yenye diverse effect katika mwili wa mtu, wataalamu wa tiba wanaona mnyama ambaye viungo vyake vinakaribiana sana na viungo vya binadamu ni Nguruwe, ndio maana leo tafiti na studies zinafanywa kwa wingi ili viungo kama Moyo, maini, Figo, Kongosho, macho nk, vya nguruwe viweze kutumika kwa ajili "transplantation" kwa watu wanaihitaji viungo--- sasa utaona nguruwe mwili wake upo close sana na mwili wa binadamu hiyo ni dhahiri kwamba mtu ukila nyama ya nguruwe ni karibu sana na kula nyama ya mtu ndiyo maana anayekula nyama ya nguruwe hawezi acha jinsi (watu wanasena) aliyekula nyama ya mtu kuacha ni kazi.

Madhara yatokanayo na Epigenetics basda ya kula kitimoto ni obvious, ndio maana mashoga, magonjwa ya kansa, na tabia za ukosefu wa ghera zimezidi hii inachangiwa sana ulaji mkubwa wa kitimoto, hulka za watu zimeharibika, watu wamekuwa mithili ya wanyama kitabia, Epigenetics ni ugonjwa unaoathiri genes moja kwa moja na Genes ndiyo tofali la mwili wa mtu, tofali likiharibika jengo zima huaribika.
 
Mkuu vipi na kwa wenzetu waarabu kule ushoga umesababishwa na nini? Kwa maana ushoga kwa waarabu ni jambo la kawaida sana. Hapo zenji tu kwenyewe nimeshuhudia mengi.

Kama umewaona huko bila shaka wanakula sana kitimoto kwa siri. Tofauti na mashoga wa ulaya ambao wanakula kitimoto kwa uwazi na wanajitangaza kwamba wao ni mashoga.
 
Back
Top Bottom