Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Nitamtafuta nikija mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitamtafuta nikija mjini
Yan wewe, ngoja kwanza nimalize kulia 😀😀Kwa hiyo umenifanyia figusi yale maeneo[emoji134]
Heheee ngoja nitafute mdudu na smirnoff ice inayotoka jasho kwanza[emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hiyo ni yako mpenziYan wewe, ngoja kwanza nimalize kulia 😀😀
Tafuna salama tu, ngoja mie nikatafute Loshoro
😏 naona unataka kuniangushia jumba bovu wakati ulikata nyaya mwenyewe.Hapana hiyo ni yako mpenzi
Najaribu kukurudisha kwa mood ili uniambie hayo maamuzi uliyafanya ukiwa sober au ukiwa na smirnoff kichwani😏
Hakuna starehe kubwa zaidi ya hii!🤗🤗🤗Ila humu duniani kuna raha sana ila mpaka uwe na vitu hivi:
1.Afya njema
2.Hela/ pesa isiyo na mashaka
3. Kitimoto
4. Ulabu ( hasa wine zile expensive sweet one wee utajilaambaa na kitimoto pembeni)
Hatushindwani mi na wewe[emoji57] naona unataka kuniangushia jumba bovu wakati ulikata nyaya mwenyewe.
Ujiandae kulipa faini babe, maana hiyo hasira Niko nayo teh teh
Mimi personally sili kitimoto Lakini ni makosa makubwa sana kulazimisha Sayansi itetee udini wako....kwahyo Research za mlengo wa kutetea maandiko huwa ni upuuzi...Sayansi haijaja kutetea dini
Mfano:Huwezi kuthibitisha kitu chochote kiliumbwa na Mungu lakini pia huwezi kuthibitisha kitu chochote hakijaumbwa Na Mungu...kwahyo dini haiwezi kuthibitisha kwa scientific argument kama ambavyo sayansi haiwezi kudisprove uwepo wa majini,mizimu,malaika nk.
Sayansi ni kifaa tu ambacho binadamu hutumia kugundua na kuuelezea ulimwengu unaoonekana(physical world) na wala haikuja kuprove au kuprove mambo ya kiroho(spiritual world)
wanaoifosi itetee milengo yao ya kidini wanakosea
Dini kwa upande mwingine ni system ya imani tu...amabayo haiitaji proof yoyote
kwahyo usijaribu kutumia sayansi kuprove dini yako isivyopenda nguruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mb.....umeiacha wapi?haswa ya mtu unaempenda ukimuona tu k inalowa
Weka namba moja
Ni nini hiki?[emoji23][emoji23]Hakuna starehe kubwa zaidi ya hii![emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1642846
Mkuu vipi na kwa wenzetu waarabu kule ushoga umesababishwa na nini? Kwa maana ushoga kwa waarabu ni jambo la kawaida sana. Hapo zenji tu kwenyewe nimeshuhudia mengi.
Rafiki am sorryNi nini hiki?[emoji23][emoji23]
Unapenda kunyanduana wewe dah 😆😆Mb.....umeiacha wapi?haswa ya mtu unaempenda ukimuona tu k inalowa
Weka namba moja
Kama mimiUnapenda kunyanduana wewe dah 😆😆
kama wewe nini? unapenda kunyanduana ama unapenda kitimoto choma 😆😆 dah!Kitimoto choma
Kama mimi
D kama D 😆Mb.....umeiacha wapi?haswa ya mtu unaempenda ukimuona tu k inalowa
Weka namba moja
Kunyanduana🙊kama wewe nini? unapenda kunyanduana ama unapenda kitimoto choma 😆😆 dah!
Kitimoto ni starehe ya masaa mangapi?😩😩😩Ila starehe ya mda mfupi sana hii [emoji53][emoji53][emoji53]
Dah nimepatwa na hamu ghafla, ngoja nikaagize hata kolo na safariNimejaribu kuchagua hata kwa tofauti ya asilimia moja nimeshindwa...swali ngumu sana kwa mwaka huuView attachment 1639307View attachment 1639308
HaahahahhaD kama D 😆
Tuliokwisha experience hiyo kitu tunakuelewa zaidi