Bia na kitimoto ipi tamu?

Unakuta hizo research kafanya mwanasayansi anaitwa Mohammed Abdallah
 
Wewe, mimi siongelei kufuga kitimoto, mimi naongelea kula kitimoto, au hujui tofauti ya kufuga na kula???--- kweli wewe ni mtu wa kijijini.
mfano hapa bongo mashoga wengi wanapatikana wapi hilo linajulikana...Je nguruwe wengi wanapatikana wapi?
Tunataka tufanye correlaztion statistics
 
Ila humu duniani kuna raha sana ila mpaka uwe na vitu hivi:

1.Afya njema

2.Hela/ pesa isiyo na mashaka

3. Kitimoto

4. Ulabu ( hasa wine zile expensive sweet one wee utajilaambaa na kitimoto pembeni)
 
mfano hapa bongo mashoga wengi wanapatikana wapi hilo linajulikana...Je nguruwe wengi wanapatikana wapi?
Tunataka tufanye correlaztion statistics


Aiseee, Umewajuaje mashoga WENGI wa Bongo na mahali walipo ??!!, πŸ˜’ mwanaume mzima!!!
 
Aiseee, Umewajuaje mashoga WENGI wa Bongo na mahali walipo ??!!, [emoji19] mwanaume mzima!!!
Tembea uone wahenga wanasema...wewe unaweza kuona kawaida ila mimi nilitoka Kwetu igwambiti sikuzoea kuona wanaume wamesuka ila kuna Sehemu hapa Tz watu wanapakuana kawaida.
Haya Sehemu gani bongo inaongoza Kufuga nguruwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta hizo research kafanya mwanasayansi anaitwa Mohammed Abdallah


Huwezi kukubali Research ya mtu yeyote kwani uroho wa kitimoto umepofua ufahamu wako kiasi kwamba hata andiko la Biblia linalokataza ulaji wa kitimoto hulioni!!. (Leviticus).

Kama unapinga andiko unaloliamini ni kutoka kwa Mungu mimi nani ukubali nisemacho??!!.
 
Lini ulisikia Wataalamu wabobezi wa mambo ya lishe na Chakula wanatoka Arabuni au Afrika??!!.
Muda sana Nilisikia jamaa mmoja mwanasayansi anaitwa Abdul alikuwa ameweka research ya Lishe iliyopo kwenye maji ya Zamzam huko mecca....Akawa anasema yale maji Hata utupemo punda aliyekufa hayawezi kuchafuka bado yananyweka kwasababu yana Chemical fulani inayopatikana hapo tu...Tena huyo jamaa alikuwa na Masters kama sikosei ya Biochemistry.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi personally sili kitimoto Lakini ni makosa makubwa sana kulazimisha Sayansi itetee udini wako....kwahyo Research za mlengo wa kutetea maandiko huwa ni upuuzi...Sayansi haijaja kutetea dini
Mfano:Huwezi kuthibitisha kitu chochote kiliumbwa na Mungu lakini pia huwezi kuthibitisha kitu chochote hakijaumbwa Na Mungu...kwahyo dini haiwezi kuthibitisha kwa scientific argument kama ambavyo sayansi haiwezi kudisprove uwepo wa majini,mizimu,malaika nk.


Sayansi ni kifaa tu ambacho binadamu hutumia kugundua na kuuelezea ulimwengu unaoonekana(physical world) na wala haikuja kuprove au kuprove mambo ya kiroho(spiritual world)
wanaoifosi itetee milengo yao ya kidini wanakosea

Dini kwa upande mwingine ni system ya imani tu...amabayo haiitaji proof yoyote

kwahyo usijaribu kutumia sayansi kuprove dini yako isivyopenda nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…