Bia na kitimoto ipi tamu?

Kitimoto hata kwa supu ya utumbo au mboriko ya moto haifiki!!
 
Kitimoto hata kwa supu ya utumbo au mboriko ya moto haifiki!!
Hahahaa vavieee... kitimoto ya tekla pale kwa mangulwaaa kibokoo. Ila anko wangu sijui kwanini aliacha kaanga wakati mkuu yote pale alikua anakimbizaa
 
Halafu kitimoto ya mkoani ikiwa fresh ni taamu balaaa yaani. Sema wengi hawana maujuzi ya kupika roast lake. Yaaanii ya mkoa haihitaji efforts halaf ni bei chee[emoji23][emoji23] ulisikia bia ni chakulaaa wee mang'aa?

As long as tunaishi na munambagua huyu kiumbe wa Mungu tutamlinda na kumtetea hadi liambaaa[emoji200][emoji200][emoji241][emoji241][emoji179][emoji179][emoji179]
 
Hilo andiko linasemaje
 
Hilo andiko linasemaje

Hilo andiko sio tu linakataza kula nyama ya nguruwe bali linakataza hata kushika mzoga wake, andiko linasema:-

You may eat any animal that has a split hoof completely divided and chew the cud----, And the Pig though it has a split hoof completely divided, does not chew the cud; it is unclean for you, you must not eat their meat or touch their carcasses; they are unclean for you,

Leviticus 11 (Walawi 11).
 
Kwa hiyo wameumbwa tuwaangalie tu
 
Kwa hiyo wameumbwa tuwaangalie tu

Fisi naye ameumbwa ili aliwe??, simba naye??, funza wa chooni??-- hao wote wanafaa kuliwa??

Kila kitu Mungu kaumba kwa kazi yake ni ujinga au ushenzi na tamaa za nafsi ya binadamu ndio hubadilisha matumizi ya vitu, mfano watu wanapo kaidi agizo la Mungu na kula kitimoto hushikwa na ugonjwa wa Ushoga (kubadili njia halali za kujamiana)--- hapo sasa utaona kosa moja limezaa kosa jingine (a vicious cycle).

Baadhi ya Kazi za nguruwe ni zipi??

1---Nguruwe anaweza kutumika katika kazi za kunusa kwani anao uwezo mkubwa sana wa kutambua harufu kama mbwa.

2--- Kuna baadhi ya nyuzi za operation (surgical stiches) hutengenezwa kutokana na aina fulani ya utumbo wa nguruwe.

3----katika wanyama ni nguruwe tu ambaye viungo vyake kama; Ini, moyo, figo, jicho, kongosho, mapafu nk, vinashabihiana sana na viungo vya binadamu ba hivyo tafiti zimekuwa zikifanywa ili viungo hivyo viweze kutumika kupandikizwa kwa binadamu wenye uhitaji. Hii ni ishara kwamba nyama ya nguruwe inafafanana sana na nyama ya mtu hivyo mtu anayekula nyama ya nguruwe ni karibu sana kusema amekula nyama ya mtu.

4--- Nguruwe ni miongoni mwa wanyama wanaofaa kufanyiwa tafiti mbalimbali za tiba za binadamu, wanyama wengine katika kazi hiyo ni panya buku, Pimbi nk.

5-- Nguruwe ni miongoni mwa scavengers , yaani wanyama wanaokula takataka, kwa maneno mengine nguruwe na fisi ni ndugu katika kadhia hiyo.

6---- Nguruwe anaweza kuwa kionjeo chakula (food tester) kujua kama chakula kinaweza kuliwa na binadamu na kisilete madhara.

7---- Nguruwe ni chakula cha wanyama pori kama Simba, Chui nk, hivyo analeta ecosystem balance.
 
Nawaona Waislamu wanavyokummxxxieww hahaha! ! Uzuri Majibu unayo!
 
Hiyo ya nyama ya nguruwe kusababisha hisia za ushoga ni ya kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…