Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Usionje kabisa..utapoteza figure yako ile ya kueleweka maana soon ukikaa utaanza kupakata kitambi kama ukionja
Siwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usionje kabisa..utapoteza figure yako ile ya kueleweka maana soon ukikaa utaanza kupakata kitambi kama ukionja
Sehemu gani pale mkuuKuna jamaa pale mbagala sabasaba anaitwa Dewis yule fundi balaa! anakutengenezea kitimoto na kachumbali na pili vyote vimekatwa kiustadi kama vimekatwa na mashine. Kisha mhudumu anakuletea bia baridi inatoa machozi na jasho, acha kabisa!
[emoji16][emoji23][emoji1787]Hapo inabidi upate bia kadhaa kwanza, ili uweze kufanya uamuzi sahihi ni kipi cha kuchagua hapo.
Ukishuka mbagala sabasaba kama unaelekea mjini, rudi nyuma kidogo pana hospitali ina ghorofa. Shuka na njia ile ulizia kwa Deus ni dakika 4 tu. Mimi huw natoka Kinondoni kaenda kula kitimoto mbagala kama nimerogwa hivi.Sehemu gani pale mkuu
Bia habari nyingine mpwa weka mbali na waHivi ukiambiwa uchague bia na kitimoto utachagua kipi ?
Usije kusema vinaendana pamoja 🤗🤗akili za Naantombe Mushi 🤗🤗🤗
Tuache utani hivi vitiu viwilibia na nyama ya nguruwe aka kitimoto aka mbuzi katoliki aka mkuu wa meza aka pork ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu. Kwa ufupi nguruwe ndiyo mnyama anayeongoza kwa kuliwa duniani. China kuna nguruwe zaidi ya 470mil ndiyo maana wameongeza sana kasi ya ukuaji wa uchumi wao. Vile vile mataifa yenye watu wenye akili kama USA, Brazil, Dernmark, Vietam, n.k hawako mbali katika ukuzaji na ulaji wa kitimoto sambamba na biaHivi ukiambiwa uchague bia na kitimoto utachagua kipi ?
Usije kusema vinaendana pamoja 🤗🤗akili za Naantombe Mushi 🤗🤗🤗
Ina maana mwezi wa mfungo ukifika wauza kiti na bia biashara upungua hata kudoda
Mkuu unaijua kitimoto kweli? Au umesimuliwa?Hivi ukiambiwa uchague bia na kitimoto utachagua kipi ?
Usije kusema vinaendana pamoja [emoji847][emoji847]akili za Naantombe Mushi [emoji847][emoji847][emoji847]
Ukifa tunakesha msiban na bia mkononBora uniue lakini siwezi chagua kimoja hapo... kama nikuniua we niue tu
Bia habari nyingine mpwa weka mbali na wa
Tuache utani hivi vitiu viwilibia na nyama ya nguruwe aka kitimoto aka mbuzi katoliki aka mkuu wa meza aka pork ni muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu. Kwa ufupi nguruwe ndiyo mnyama anayeongoza kwa kuliwa duniani. China kuna nguruwe zaidi ya 470mil ndiyo maana wameongeza sana kasi ya ukuaji wa uchumi wao. Vile vile mataifa yenye watu wenye akili kama USA, Brazil, Dernmark, Vietam, n.k hawako mbali katika ukuzaji na ulaji wa kitimoto sambamba na bia
Nashauri serikali ya Tanzania ihamasishe ulaji wa kitimoto na bia tena bia iwe breakfast kabisa kama waholanzi wanavyofanya ili vimo vya Watanzania viongezeke maana wamezidi kuwa wafupi.
Bia na kitomoto viwepo milele. Wote semeni Ameen
Urongo mtupu. Dubai kwenyewe kitimoto anauzwa kama pipi. Soon na Jeddah wataanza kuuza hii nyama adimu. We unaakili kuliko wachina wanaokula kitimoto 3x per day?Ulaji wa sana wa Nyama ya kitimoto unasababisha Ugonjwa uitwao "Epigenetics"---- huu ni ugonjwa unaoshambulia "Genes" za mlaji kitimoto.
Nyama ya kitimoto ni hatari sana kwa maneno mengine ni Sumu kwa binadamu na ndio maana kuna baadhi ya watu ambao miiki yao ni sensitive wakila hata kipande kidogo tu hupata Allergic reaction kali sana, hii maana yake ni kwamba sumu ya hiyo nyama ikiingia mwili ni huenda moja kwa moja kuathiri chembe hai za mwili kwenye "Genes" (Epigenetics).
Katika wanyama "wanaoliwa kimakosa"ni nguruwe tu ambaye hufanya ushoga, madume nawili ya nguruwe yakikaa pamoja ni lazima yafanye ushoga.
Watu wanaokula sana kitimoto na wao wanayo nafasi kubwa ya kuambukizwa tabia ya Ushoga kwani kitimoto anachokula huambukiza tabia za ushoga kwa huyo mtumiaji kutokana na "Epigenics", wataalamu wa Lishe na chakula wanasema; "you are what you eat", yaani mwili wako upo hivy kutokana na vyakula unavyokula, mfano hai rahisi ni huu; ukienda porini na ukaona madume ya Simba yanafanya Ushoga basi peleleza mahali hapo na bila shaka utakuta maeneo hayo waliopo hao simba kuna nguruwe pori wengi na hao ndio chakula kikuu cha hao simba. Chunguza pia jamii ya watu wanaoshabikia ushoga utakuta ni walaji wakubwa wa kitimoto na watakuwa walianza kula toka wangali watoto hao wote Epigenetics imewaathiri kwa kula kitimoto.
Katika wanyama ambaye inadhaniwa yupo karibu sana na Mwanadamu katika mifumo ya chakula na viungo ni nguruwe, na ndio maana watafiti wa tiba za binadamu wanafanya tafiti kuona ni jinsi gani viungo vya nguruwe kama macho, ini, mafigo, kongosho, moyo nk, vinaweza vipi kutumika kupandikizwa kwa mwanadamu, kifupi ni kwamba nyama ya kitimoto ipo karibu sana na nyama ya binadamu na mlaji wa kitimoto yupo karibu sana na mlaji wa nyama ya binadamu, na ndiyo maana mlaji wa kitimoto ukimwambie aache kula hapo umechokoza vita jinsi inavyosemwa kwamba mlaji wa nyama ya binadamu ukimwambia aache kula inavyokuwa ni vita.
Katika wanyama ambao mmeng'enyo wao wa chakula ni hafifu sana ni pamoja na nguruwe, mmeng'enyo unapokuwa hafifu unasababisha kutengenezwa kwa sumu (toxins) tumboni mwake, inapoondolewa na mfumo wa umengenyaji hiyo sumu huenda kuhifadhiwa katika mafuta mwilini mwake hivyo utaona mafuta ya nguruwe ndiyo yamebeba sumu nyingi zinazoathiri watumiaji na kuwasababishia "Epigenetics".
Mafuta ya nguruwe kwakuwa ni aina fulani ya sumu ndiyo maana nguruwe akigongwa na nyoka kamwe haathiriki kwani sumu ya nyoka huwa "neutralised", kupitia principle ya like dissolves like.
Kuhusu madhara ya pombe, hiyo mada inajukikana sana na hakuna haja ya kuijadili hapa.
Urongo mtupu. Dubai kwenyewe kitimoto anauzwa kama pipi. Soon na Jeddah wataanza kuuza hii nyama adimu. We unaakili kuliko wachina wanaokula kitimoto 3x per day?