Bia zimepanda bei

Bia zimepanda bei

Kulikua na ka uadimu ka upatikanaji wa safari lager na Kilimanjaro kwa baadhi ya mikoa kama sio wilaya ,hali hii ikapelekea baadhi ya wahuni kuuza hadi Tsh 3,000 kwa bia tajwa hapo.
Ila bei bado ni ile ile hali hii imekua ikijitokeza sana maeneo nilipo Nachingwea,Ruangwa na Liwale.
Kwa upande wa Nachingwea hali hii imekua ikijirudia kwa miaka mitatu sasa baada ya agent wa mwanzo kufunga biashara ,hivo now bia zinauzwa na wachuuzi wadogo wadogo tu.
Fursa kwenu wenye mitaji mikubwa kwa maeneo tajwa haya.
 
Back
Top Bottom