Bia zimepanda bei

Bia zimepanda bei

Jambo sijalielewa nimekutana na bei mpya ya bia nilizani ni sehemu moja nilipozunguka sehemu nyingine tofauti ndio nikaja jua bei ya bia zimepanda bei bia yetu pendwa safari ni 2500
Bia hata wauze laki tutakunywa tuu, bajeti ya nyumbani ndio itaathirika! Kwa hiyo tunàomba serikali ifikirie akina mama nà watoto inapoongeza bei yà bia maana walevi hatuathiriki!.
 
Back
Top Bottom