Bia zimepanda bei

Bia zimepanda bei

kukutana muhimu kama unapafaham,,karibu na lile sanamu la sokwe la nia njema.
Nitakutafuta, ni uwekezaji kama huu wa kwenye uzi??😀😀 last week nilikua mwisho wa lami pale kwa maharakati fulani fulani ya pimbi
 
Nitakutafuta, ni uwekezaji kama huu wa kwenye uzi??😀😀 last week nilikua mwisho wa lami pale kwa maharakati fulani fulani ya pimbi
Getini pale si ndo mwisho wa lami,,we ntafte tu nitakuwepo,,uwekezaji huu huu
 
Jambo sijalielewa nimekutana na bei mpya ya bia nilizani ni sehemu moja nilipozunguka sehemu nyingine tofauti ndio nikaja jua bei ya bia zimepanda bei bia yetu pendwa safari ni 2500
Mkuu mbona kawaida kubwa n 3000 kirikuu au kimini n 2500/ ala n ktoka job lazma n kasain maudhurio kabla sjaenda kuvurugwa akili nyumban, kwa afya ya akili kwa wanaume n bia safar au kili ile ndoa ya kla saa inawaka moto isyo zma kama California bia inatusahulisha tunainjoi na wana 💐💐💐
 
Kulikua na ka uadimu ka upatikanaji wa safari lager na Kilimanjaro kwa baadhi ya mikoa kama sio wilaya ,hali hii ikapelekea baadhi ya wahuni kuuza hadi Tsh 3,000 kwa bia tajwa hapo.
Ila bei bado ni ile ile hali hii imekua ikijitokeza sana maeneo nilipo Nachingwea,Ruangwa na Liwale.
Kwa upande wa Nachingwea hali hii imekua ikijirudia kwa miaka mitatu sasa baada ya agent wa mwanzo kufunga biashara ,hivo now bia zinauzwa na wachuuzi wadogo wadogo tu.
Fursa kwenu wenye mitaji mikubwa kwa maeneo tajwa haya.
Huko agent wake ndio alikua Mama Tema?
 
Kuacha pombe ni ngumu Mungu asaidie
Ukiamua unaacha. Mimi niliacha mwezi Juni mwaka 2024. Sasa tarehe 5 mwezi huu tukawa tunabishana kwamba ukiacha pombe halafu ukajaribu tu ndio unakuwa unakunywa kuliko mara ya kwanza.
Nikasema hapana, sasa leo nakunywa na kesho sinywi tena kuthibitisha kuwa hiyo nadharia si ya kweli.

Nikapiga safari ndogo 7 na sijanywa mpaka leo na bado sitamani nakataa of kabisa.
 
Niko the dreams hapa kona ya bwiru mwanza,huyu jamaa ni mbunifu sana yaani yeye anauza local beer zote kubwa kwa tsh 2000 tu na anajaza nyomi la maana.Huwa sijutii ninapokuwa the dreams hakuna wizi wizi ni bei elekezi tupu.Wengine mjifunze kuwa biashara ni mkakati
 
Mimi nafikiri hata yeye anakunywa bia kwa sababu ya dhiki aliyonayo, wala si kwa sababu ya burudani! Kuna kitu kinamsumbua kichwani!
 
Back
Top Bottom